Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,213
- 85,334
Mkuu, kuna wakati huwa nikitulia nakua na akili za kunitosha kuandika Uzi wa maana kabisa....Unatumia app gani inatranslate vizur hivi???
Sema hii bahati mbaya Jf ilitoweka
Mkuu, kuna wakati huwa nikitulia nakua na akili za kunitosha kuandika Uzi wa maana kabisa....Unatumia app gani inatranslate vizur hivi???
Yupi kati ya hao?huyu hapa mkuu nasikia trump na israel wakisiki jina lake wanaanza kuhara!
Huyo mwenye kitambaa cheupe shingoni sare yake kama makamanda wa ufipa.Ana mpaka ma bodyguard nyuma na pembeni.Yupi kati ya hao?
Hahaha eti kama kamanda wa UFIPAHuyo mwenye kitambaa cheupe shingoni sare yake kama makamanda wa ufipa.Ana mpaka ma bodyguard nyuma na pembeni.
Hahaa ndo mfano uliokuja haraka mkuu nawaomba makamanda wasinielewe vibaya.Hahaha eti kama kamanda wa UFIPA
Uko chini unavyomalizia ndo chengaKwanini mkuu...
Mabeyo akasome aiseeeee....Anamshinda Mabeyo?
Kuna masaa nakuaga mtata sana mkuu, ebu nivumilie tuUko chini unavyomalizia ndo chenga
Smahani ndugu mjumbe, kidogo nilichelewa kuwajibika..Yupi kati ya hao?
Poa bossKuna masaa nakuaga mtata sana mkuu, ebu nivumilie tu
Huyo sasa ndio mwenye mahaba,yeye kutotajwa wayahud roho yake inamuuma kwelikwel_pumba*Mkuu mbona kaeleweka tu hapo sasa ingebidi umpinge kwa nondo sio lawama
Aaaah huko kiroho safi,unafiki mbaya sana ndio maaana uncle magu anatunyooosha kutokan na kutokubali kituSijawahi sikia Israel akisema inamuogopa Mtu yeyote anayehatarisha Usalama wake... Israel ashautangazia ulimwengu wote kuwa mtu au nchi yeyote ikichezea Usalama wake au kuingilia Mipaka yake atapigwa ndani ya masekunde tu mara moja... Bora ukamuambie Huyo Major General Qassem akauguse kwa kucha tu mpaka wa Israel atolewe mavi