Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

Mkuu naunga mkono hoja:

1. "Waziri ni mdomo wa rais, akisema waziri ni agizo la serikali lenye ridhaa ya rais na organs za serikali zinachotakiwa kufanya ni KUTEKELEZA KWANZA!"
2. "Pili mzee Sirro alikuwa kwenye nafasi nzuri kabisa kujibu kuwa wanafanga mawasiliano na wizara au na waziri ..! Full stop!"

Alichokuwa kaongelea Waziri ilikuwa kumhoji Gwajima:

Kumwita akaja mwenyewe wakasalimiana na kisha Gwajiboy akaendelea na hamsini zake wakati wanaweka mambo ndani sawa, hata kama hakupenda kumkamata ilitosha sana. Ila sasa:

Gwajima, Sirro japo mmoja Ang'oke

a) sijapewa barua
b) hata nikipewa barua hadi njijiridhishe
c) mimi ninesikia mitandaoni tu

Ohooo. Hapo Sirro kwa maana nyingine kamdindia waziri. Kwa sababu zake kaidindia serikali.

Kumbe Sirro kidume cha mbegu!
Feminism kwani yeye ni nani mpaka aniamrishe!
 
Kwahiyo hutaki Weledi huo utumike kwa gwajima?
Kama kuna makosa je; unapenda polisi iendeleze makosa?
Hapana hakuna niliposema hivyo. Na hata kama ni majibu kwa waandishi..Sirro kachemka big time...kuna mawasiliano ya watendaji na kiutendaji na kuna mawasiliano ya watendaji na jamii/hadhira.. Na ndio maana mada yangu nilianzia mbali nikitoa ufafanuzi na mifano ya semina elekezi
 
Utawala wa sasa SASHA
JamiiForums426130229.jpg
 
Nahisi sirro amechoka kuwa kichaka kwa maovu ya wa2 wengne watakao mgeuka kutetea ugali wao.hii inajidhihrxha waz! Bcoz yeye katoa msimamo kama yeye na familia yake yaan kanisa.sasa wewe unatafuta nini? Na kipi kinakuwasha kufuatilia na kumkamata ni kumpa umaharufu.mwisho wa siku gwajma atakuwa rais.na rais kashashtukia hlo
Hoja kubwa ni maslai, pili kama gwajiboy atakamatwa ujue moto utakaowaka watashndwa kuuzima na pressure hii itakuwa sawa na ya mboe
 
Nahisi sirro amechoka kuwa kichaka kwa maovu ya wa2 wengne watakao mgeuka kutetea ugali wao.hii inajidhihrxha waz! Bcoz yeye katoa msimamo kama yeye na familia yake yaan kanisa.sasa wewe unatafuta nini? Na kipi kinakuwasha kufuatilia na kumkamata ni kumpa umaharufu.mwisho wa siku gwajma atakuwa rais.na rais kashashtukia hlo
Gwajima atakuwa Rais?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hutaki Weledi huo utumike kwa gwajima?
Kama kuna makosa je; unapenda polisi iendeleze makosa?
Nakumbuka Makonda amewahi kuwaagiza polisi kumkamata Mbowe baada ya kumtaja kwenye orodha ya madawa ya kulevya. Sirro hakusubiri maandishi. Makonda huyohuyo akaagiza Aabdul Nondo akamatwe kwa tuhuma za kujiteka. Sirro hakusubiri maandishi, licha ya kwamba yalikua maelekezo ya Mkuu wa mkoa tu. Leo Waziri katoa maelekezo anasema anasubiri maandishi?

Anyway ni barua gani Sirro alipewa kuwakamata vijana wa Chadema waliokua ibadani huko Mwanza juzi jumapili? Je Sirro alipewa barua na nani kumkamata Askofu Mwamakula na Prof.Azavel Lwaitama usiku wa manane hotelini kama majambazi na kuwaweka rumande bila hatia? Sirro alipewa barua na nani kuwakamata vijana wanaokwenda mahakamani kufuatilia kesi ya Mwenyekiti Mbowe? Why these double standards?

Credit: Malisa GJ
 
Back
Top Bottom