Soot Mkorofi
Member
- Nov 29, 2013
- 9
- 2
Weka Picha!!!
uyo ni bilionea wa Arusha
View attachment 125631
na wewe na ukongwe wote umenasa kwenye huu utoto wa weka picha??, aisee

Kwani shida iko wapi!??
Mleta mada ameuliza kama kuna anaemfahamu Ernest Massawe, jamaa akaomba picha yake Pengine anamjua kwa sura, utoto uko wapi hapo!??
Hebu naombeni kumfahamu huyu jamaa anaitwa Ernest Massawe, mfanyabiashara wa kitanzania. Ndiyo mwenyekiti wa Swala Oil and Gas Tanzania. Inasemekana huyu jamaa ana makampuni mengi tu ya madini na kwamba ana ukaribu sana na watu wa system.
Hizo ni tetesi, hebu leteni ukweli wa mambo haya!

Ingekuwa vizuri ukiweka wazi unachotaka kusema badala ya kuzunguka zunguka.
Kwamba ni mfanyibiashara na yuko karibu na watu wa system unataka tuelewe nini? Tuelewe kuwa biashara zake si halali?!