Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,468
Naitwa Erasto E. Massawe, unayemuulizia ni baba yangu mzazi, ulikuwa unasemaje kwani??
anahtaji kumjua baba yako..mpe cv ya mzee!
Naitwa Erasto E. Massawe, unayemuulizia ni baba yangu mzazi, ulikuwa unasemaje kwani??
Erncon Holdings Limited is a Family Investment Company established by Mr. Ernest S. Massawe and his family. It was established in 1993 for the sole purpose of managing the familys various investment activities as well as holding the familys assets. The initial directors of the company are Mr. Ernest Massawe, Mrs. Consolata Massawe, Ms. Maryanne Massawe, Mr. Andrew Massawe and Mr. Justin Massawe.
To-date the company has experienced strong growth and has diversified a portfolio covering a number of sectors, including: Tourism, Industrial gases,Insurance, Assurance, Banking, Real Estate, Stock Broking, Fund Management, Leasing, Mining, Mining Services and Logistics Solutions, Transportation and Telecoms.
source: akiba commercial bank
Hapo swala Oil hii kampuni yake ina 20% (source: east african)
Hahahahahhaa wabongo bana.Naitwa Erasto E. Massawe, unayemuulizia ni baba yangu mzazi, ulikuwa unasemaje kwani??
Ernest Massawe ni msomi,aligraduate university of East Africa (Nairobi) kitaaambo sana,then akapata ACCA,akaanzisha kampuni yake ya auditing,Massawe Ernest auditing firm ndio bwana young akaja wakaunganisha nguvu mpaka kampuni imekuwa kubwa na yeye ndio chairman kwa africa mashariki,anamiliki makampuni mengi na ameihusisha familia yake kwa ukaribusana sababu ni wasomi wakubwa pia,sasa ni chairman wa swala!Hebu naombeni kumfahamu huyu jamaa anaitwa Ernest Massawe, mfanyabiashara wa kitanzania. Ndiyo mwenyekiti wa Swala Oil and Gas Tanzania. Inasemekana huyu jamaa ana makampuni mengi tu ya madini na kwamba ana ukaribu sana na watu wa system.
Hizo ni tetesi, hebu leteni ukweli wa mambo haya!
Mkuu huyu jamaa nasikia hata kumwona ni shida anamzigo wa kufa
Duu huyo kweli katumia vyema elimu yake,kuna watu wana viCpa vyao huko serikalini wanajiona miungu watu
Ernest Massawe ni msomi,aligraduate university of East Africa (Nairobi) kitaaambo sana,then akapata ACCA,akaanzisha kampuni yake ya auditing,Massawe Ernest auditing firm ndio bwana young akaja wakaunganisha nguvu mpaka kampuni imekuwa kubwa na yeye ndio chairman kwa africa mashariki,anamiliki makampuni mengi na ameihusisha familia yake kwa ukaribusana sababu ni wasomi wakubwa pia,sasa ni chairman wa swala!
habari za tajiri muulize maskini
Mkuu, penye mikolezo umekosea. Hiyo kampuni inaitwa Ernst (sio Ernest) & Young (kwa sasa EY tu). Ni kampuni ya zamani sana ya Marekani/Uingereza. Huyo Massawe alifanya kazi sana huko ujanani kwake. Nadhani bado ni partner ila si mwanzilishi wa hiyo EY.
Hebu naombeni kumfahamu huyu jamaa anaitwa Ernest Massawe, mfanyabiashara wa kitanzania. Ndiyo mwenyekiti wa Swala Oil and Gas Tanzania. Inasemekana huyu jamaa ana makampuni mengi tu ya madini na kwamba ana ukaribu sana na watu wa system.
Hizo ni tetesi, hebu leteni ukweli wa mambo haya!
Mchagga kutoka Rombo Keni kwa walio wengi wanaomfahamu ni maarufu sana hasa ukiulizia kwa Kenge
Kilimanjaro mining ni Kati ya makampuni makubwa ya uchimbaji wa madini aina ya tanzanite huko merarani ikimilikiwa na Ernest masawe akishirikiana na pesa mbili pia ni wamiliki wa Akiba commercial bank wana mahotel makubwa ya kitalii ilikiwemo lake chala hotel kwa kifupi ni wala nchi.
Miaka 52 ya Uhuru, kwenye karne ya 21 bado watanzania tunaona ufahari kujadili nafsi na majina ya watu wakati hatuna umeme wa uhakika, maji safi na salama, barabara bora, hospitali kuu ya taifa wagonjwa bado wanalala chini. Kweli umaskini ni ugonjwa na wala si kuwa na akili ndogo.