huyu dogo naye vipi jamani

huyu dogo naye vipi jamani

Ameona wazazi wanachelewa kumpeleka kuirekebisha. Kaona isiwe tabu, nachukua kisu, kisha nairekebisha mwenyewe. Dogo jasiri huyu!!!!!
 
Anakiondoa ili kisimnyime kuuridhi ufalme wa mbinguni. Kaambiwa sababu kubwa ya kutouona ufalme wa mbinguni ni hicho kidude. du!!!!!!! hatari
 
mhh mtoto ana hatari huyu, anafahamu habari ya majuto ni mjukuu kweli?
 
yaani mi nikiulizwa wanikate hiyo kitu au mguu...walah nachagua kukatwa mguu
 
Mtundu mpaka msikitini.............

images
 
Back
Top Bottom