huyu dogo naye vipi jamani

Ameona wazazi wanachelewa kumpeleka kuirekebisha. Kaona isiwe tabu, nachukua kisu, kisha nairekebisha mwenyewe. Dogo jasiri huyu!!!!!
 
Anakiondoa ili kisimnyime kuuridhi ufalme wa mbinguni. Kaambiwa sababu kubwa ya kutouona ufalme wa mbinguni ni hicho kidude. du!!!!!!! hatari
 
yaani mi nikiulizwa wanikate hiyo kitu au mguu...walah nachagua kukatwa mguu
 
Mtundu mpaka msikitini.............

images
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom