Alijishindanisha na diamond.... uwezi kubaki kwenye game ukijishindanisha na chibu
Mbona Konde boy ameshindana na Diamond hadi kampita DiamondAlijishindanisha na Diamond.... uwezi kubaki kwenye game ukijishindanisha na chibu
Alianza uzuri na ngoma yake basi nenda baada ya hapo kapotea. Mlio karibu nae mwambieni arudi kwenye game anajua. View attachment 1963102