Huyu dogo Mo Music amepotelea wapi alianza vizuri

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Alianza uzuri na ngoma yake basi nenda baada ya hapo kapotea. Mlio karibu nae mwambieni arudi kwenye game anajua.
20211004_232033.jpg
 
Baada ya kutoka na hiyo ya basi nenda amekuwa anafanya back to back kuachia nyimbo nyingine nazani hazijapata ukubwa wa basi nenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom