Huyu dogo alikuwa anajiliza kwanini?

Aibu sana hii!Kumbe haya mambo tunasikia yameongezeka sana nilikuwa bado siamini ila kwa hili,nimeogopa sana dunia imefika mbali sana naona mimi Niko nje ya wakati
 
Shoga mboga
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ duh! Daslamu hoyeeeee
Nani anaweza kuotea kabila la huyo jamaa aisee
 
Pengine alikuwa mchepuko
 
Msimtetee ni upuuzi wa kiwango cha sgr...unalia kama nani? Kama rafiki? Why ulie rafiki yako kaoa? Kama mzazi? Sawa tunaelewa maybe anakumbuka alipokutoa...
Sasa rfk wa kiume unamlilia rfk yako wa jinsia yako kama umefiwa mpk makamasi kweli??
Sisi wadada tukilia kwny shughuli za wenzetu huwa ni wivu tuu hakuna kingine..sasa yy nae anaona wivu??
Stupid
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…