Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
WASH'KAJI EEEEEEEH!
KWA HALI HII ROHO YA CHUMA INAHITAJIKA SANA.
KUTOKANA NA TABIA YANGU YA KUTOA TABASAMU,
SURA YA UCHESHI,
NA SALAMU YENYE BUSARA KWA KILA MTU,
NIMEZOELEKA NA KUPENDWA GHAFLA KARIBIA NA WATU WA RIKA ZOTE HAPA KITAA NILIPOHAMIA SIKU ZA KARIBUNI TU.
KUANZIA WATOTO, VIJANA HADI WAZEE,
WA JINSIA ZOTE WAKINIONA HUANZA KUTABASAMU NA KUNISALIMIA KWA FURAHA SANA.
NA WENGI WAO HATA WANAPORUDI KAZINI WAKIWA WAMECHOKA,
HUPAKI GARI ZAO PEMBENI NA KUHAKIKISHA WANANISALIMIA,
NDIPO WANAENDELEA NA SAFARI ZA MAKWAO.
NASISITIZA,
HALI HII NI KWA WATU WA RIKA ZOTE,
JINSIA ZOTE NA
MATABAKA YOTE
(Wenye Kipato cha Juu, Kati na Chini).
________
KAMA UNAVYOJUA,
HATA IWE VIPI HUWEZI PENDWA NA WATU WOTE,
KUNA BAADHI YA WANA WAMEANZA KUNIDISS NA KUSAMBAZA KAULI ZA AJABU ETI
"Huyu @Seneta_Wa_Mtwiz Sio Bure,
Haiwezekani kahamia juzi Tu hapa,
Halafu kawa popular & famous mtaa mzima,
Lazima
Kuna Mizizi na Tunguli za Kimakonde huyu dogo anazitumia ili kuzishika Nyota za watu hapa kitaa.
Halafu mbaya zaidi kazi inayomweka hapa mjini ni ya kiboya!
Huyu ni Mchawi!
Na
Haina Ubishi!"
***
NILIPOZIPATA HIZI TAARIFA NILISHTUKA SANA,
KWANI MBAYA ZAIDI WANAONIDISS HIVYO NI BAADHI YA VIJANA WENZANGU WAZAWA HAPAHAPA NA WENYEJI WA HUU MTAA AMBAO NILITEGEMEA KUPATA USHIRIKIANO WA NAMNA 1 AU NYINGINE KUTOKA KWAO.
______
MISHALE YA SAA KUMI NA MOJA JIONI,
JUA LINAZAMA,
WAKATI NIPO KWENYE DEEP FEELING NALIFIKIRIA HILI SWALA
NIKIWA NJIANI NATEMBEA,
NIKAPIGIWA HONI KALI SANA YA GHAFLA-
NIKARUKA MITA KADHAA PEMBENI ILI KUOKOA UHAI.
ILE GARI IKANIPITA KIDOGO IKAENDA KUPAKI KWA MBELE.
___
MOYO ULIFANYA "PAAAAAAAAAAAAAAH!!!!"
MAPIGO YAKAENDA KASI
HUKU NIKISITA KUTEMBEA KULEKEA MBELE,
KWANI SIJUI ALIYEMO MULE GARINI NI NANI,
NA
KAPAKI PALE KWA NIA GANI!
NIKAWAZA NI WATEKAJI WAMETUMWA,
AU
NI MAJAMBAZI,
NA KAMA NI MAJAMBAZI KWANGU WANATAKA NINI,
WAKATI MFUKONI NINA UFUNGUO WA LILE KUFULI LANGU LA "Shanghai_China",
NA TIKETI YA DALADALA ZA Makumbusho-Bunju,
HUKU
MKONONI NIKIWA NA BAASHA YANGU YA KAKI NIMEWEKA KOPI ZA VYETI VYANGU KWA AJILI YA KUENDELEA NA MIZUNGUKO YANGU KWENDA KUOMBA KAZI SEHEMU MBALIMBALI HAPA MJINI IFIKAPO ASUBUHI!
GHAFLA ILE GARI IKAZIMWA NA MLANGO UKAFUNGULIWA,
NIKAWA NIMESIMAMA SINA DIRA WALA MWELEKEO
HUKU NIKIOMBA KUDRA MWILI UKINITETEMEKA,
NIKIAMINI KABISA KUWA SINA HATIA,
KWANI
SINA KUMBUKUMBU YA KUMKOSEA MTU YEYOTE KATIKA JIJI HILI!
NILITAMANI NIWEZE KUPAA ILI NIRUDI MTWARA!
GHAFLA MWILI UKAISHIWA NGUVU KABISA,
NIKISUBIRI KUONA NI AKINA NANI WANASHUKA GARINI!
**********
DAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH!!!
ALISHUKA DADA MMOJA,
AMEJITANDA VIZURI KWA STARA KAMA @Fatma_Almasi WA Azam_Tv,
AKIWA NA FIGA ILIYOJAZIA KAMA @Tea WA Bongo_Movie NA SURA YAKE MATATA NA YA UPOLE KAMA YA @Happiness_Magese.
HUYU DADA ANAISHI MTAA WA 8 KUTOKA PALE NILIPOPANGA,
NAKUMBUKA KUNA SIKU NILIENDA NYUMBANI KWAKE KUMPELEKEA MAJI DUMU 4 KABLA HAJAVUTA BOMBA LA DAWASCO,
NA HAKUNIPA HELA YANGU KWANI SIKUWA NA CHENJI YA ELFU 10.
__
AKANIAMBIA
"@Seneta_Wa_Mtwiz
Pole kwa honi ya ghafla brother.
Mbona tangu Siku ile hujaja tena kuchukua hela yako?!?!"
HUKU MAPIGO YA MOYO YAKIENDA KASI,
NIKAMWAMBIA
"Sorry Dada,
Mihangahiko Tu imezidi hapa mjini!"
AKASEMA,
"Ok.
Twende ukachukue bhana,
Ile ni haki yako.
Na Hii kazi yako ya Kuuza Maji Kwenye mkokoteni na jua Kali ni ngumu sana.
Na kwa kuwa twakaa mtaa mmoja,
Panda Kwenye gari nikupe lift tuwahi."
NIKAPANDA GARINI,
AKAIWASHA NDINGA YAKE AINA YA
#Nissan_Lafesta,
SAFARI IKAENDELEA.
______
TUKAFIKA KWAO AKAFUNGA GETI,
AKAINGIA NDANI BAADA YA DAKIKA 5 HOUSEGELI WAKE AKAJA KUNIAMBIA Doctor KASEMA INGIA NDANI,
KWA UOGA NIKAINGIA MULE NDANI,
NIKAISIKIA SAUTI INAITA KUTOKA UPSTAIR
"Njoo huku ghorofani @Seneta."
MOYO UKAFANYA
"KudumKudum!!!"
HUKU NAPANDA GHOROFANI.
__
DAAAAAAAAAAAAAAAH!
KULE JUU KUNA UPEPO MZURI AMBAPO UKITULIA UNASAHAU MIHANGAIKO NA ADHA YA JIJI HILI!
____
YULE DADA AKAJA PALE SITTING_PLACE,
AKIWA NA GLASS 2 ZA MAZIWA, MAYAI YA BATA MANNE NA MIHOGO 6 YA KUCHEMSHWA,
AKAWEKA MEZANI,
AKANIKARIBISHA,
"Karibu seneta,
Feel at Home."
______
TUKIWA TUNAKULA YULE DADA ANIULIZA,
"Vipi Leo mkokoteni Wako wa kuuzia maji uko wapi?
Mbona nimekuona unazurura tu njiani?"
_
NIKAMWAMBIA TU UKWELI KUWA,
"Ule mkokoteni Sio wangu,
Hivyo Mwenyewe Kaja kuuchukua tangu juzi,
So kwa sasa sina job.
Nd'o nilienda kutoa kopi Hivi vyeti vyangu vya diploma ya procurement & supply ili niendelee kuomba kazi sehemu mbalimbali hapa mjini.
Ila miye huwa sichagui kazi,
Ikiwa Tu ni halali na inayokubalika Kijamii."
DAAAAAAAAAAAAAAAH!!!!
NIKASHANGAA KUONA YULE DADA KASH'TUKA NA KUSEMA!
AKASEMA,
"seneta
Kumbe we' una vyeti Kabisa!!!"
NIKAMWAMBIA,
"Ndio,
Ila kama ujuavyo nchi yetu ni ya undugu sana,
Nafasi wanapeana wale wanaojuana.
Kwa siye ambao hatuna connection yoyote na vigogo,
Katika interviews
daily
twapewa visogo."
NIKASHANGAA KUONA MTOTO ANATIRIRIKWA NA MACHOZI MASHAVUNI!
________
NDIPO ALIPOANZA KUFUNGUKA KUHUSU HISTORIA YAKE
KUWA,
YEYE NI Gynecologist, DAKTARI BINGWA WA WA MAGONJWA YA WANAWAKE,
ALIYEMALIZA CHUO MWAKA JUZI TU HUKO NCHINI CUBA,
AMBAYE ANAHITAJIKA SANA NCHINI Botswana,
ILA AMEAMUA KUITUMIKIA NCHI YAKE KUTOKANA NA UHABA WA WATU WA KITENGO CHAKE KUWA WACHACHE SANA KATIKA AFRIKA_MASHARIKI.
NI SPECIALIST AMBAYE HUWEZI KUONANA NA'E BILA BOOKING MAALUM IITWAYO "Special_Medical_Reservation",
PIA
NI @FLYING_DOCTOR AMBAYE ANAZITUMIKIA NCHI KADHAA KWA NYAKATI TOFAUTI,
HIVYO
MARA NYINGI ANAKUWA KWENYE NDEGE KULIKO ANAVYOKUWA NYUMBANI KWAKE.
____
NDIPO ALIPOAMUA KUFUNGUKA ZAIDI KWA KUNIAMBIA KUWA,
"Pamoja na Kuwa nipo imara sana kiuchumi,
Ila nakosa amani ndani ya nafsi,
kwani mchumba wangu ambaye nilikuwa naye University alinisaliti na kumuoa binti Mmoja wa kiarabu ambaye alikuwa ni my classmate.
Tangu hapo nikakata shauri,
kuamua Ku_remain
SINGLE_&_FREE."
NIKAMPA POLE SANA YULE DADA.
NIKAMWAMBIA,
"Nikamwambia Pamoja Wakati mgumu ulio Nao,
Unatakiwa kushukuru sana Kuwa na kazi nzuri,
Pia maisha mazuri ukiwa bado msichana 20s.
Umri Wako bado wa makamo hivyo Kuwa na imani Kuwa utapata mtu mwingine sahihi."
NIKICHECK MUDA KWENYE SIMU YANGU AINA @Siemens_mayai NI SAA 00:29.
PALEPALE NIKAMSHUKURU KWA MAPOKEZI MAZURI,
NA KUMUAGA KWA KUWA ULIKUWA NI USIKU MNENE.
ALICHONIJIBU,
"Hapa ni nyumbani kwangu,
Na Kila Kitu ni changu.
Hivyo Hakuna haja ya kuhofia muda,
Au Kuna mtu unamharakia nyumbani kwako?"
NIKAMWAMBIA,
"Hakuna mtu Yeyote,
Kwa sasa miye ni @Team_Single&Free,
Ila ule mlango wa kile kibanda ninachoishi Sio imara,
Na lile kufuli langu dogo la @Shanghai_China ni bovu.
Hivyo nina mashaka wezi wanaweza kuingia wakachukua lile godoro langu la futi 2½ ninalolitegemea,
Na
Pia mle ndani Kuna kibubu changu ambacho nimetunza hela yangu kama 11,600 hivi,
Lengo langu ikifika 21,000 Kabla sijapata kazi,
Nd'o iwe nauli ya kurudia Mtwara,
Sasa kikiibiwa nacho Daaaaaaah!
Moyo wangu wote upo hapo."
KWA HISIA KALI SANA,
AKANIAMBIA,
"Sasa seneta,
Ni Vema sana kujali mali Zako,
Ila Kuna mambo manne (4) nimeyafikiria hapa,
nimeona ni muhimu sana nataka tuyazungumze usiku huu,
Ili upate muda wa kuyatafakari,
Ningeomba unisikilize please!"
NIKATULIA NIMESHIKA TAMA,
NA KUANZA KUMSIKILIZA.
______________
NAYE AKAANZA KUNIAMBIA YAFUATAYO;
" 1) Naomba uachane na fikra za kurudi Mtwara,
Kwani nafikiria kwa taaluma yako ya Diploma ya procurement & supply unaweza kuendesha biashara flani.
2. Tumia kama wiki 1 au 2 kufikiria ni Biashara Gani halali waweza kuifanya hapa mjini
Lakini kwa kuanzia mtaji wake usizidi U$D. 10,000 (Dola elfu 10).
3.Fikiria chuo ambacho waweza kufanya bachelor ya mambo ya Biashara ili kuongeza maarifa,
Ila miye ningeshauri usiende ughaibuni kwanza,
Kwa ngazi Hii ya bachelor
Usome pale "UDBS" Maana'ke ile shule ina heshima Kubwa sana Ulimwenguni.
Labda kwa ngazi ya Master's waweza kwenda kubeba box ng'ambo.
4. Pia naombea ndugu wezi waje waibe Hilo godoro lako na kibubu chako,
Ili uhamie hapahapa kwangu.
Maana'ke nyumba kama hii bila mwanaume haiwi na
uzito.
NIKAMWAMBIA,
"Nimekusikiliza vema,
Ngoja nifanye tafakuri ya kina kidogo,
Kisha tutajuzana.
Hivyo naomba nikuage."
HAPO AKAVUTA PUMZI NDEFU,
KESHA AKASEMA,
"Kuna kitu kimoja ni very very very very paramount yabidi nikwambie tu Kabla hujaondoka seneta,
Ila please naomba usinielewe vibaya."
NIKAMWAMBIA,
"Nakusikiliza @Doctor_Shani."
NDIPO ALIPOJIKAZA KWA UPOLE NA FEELINGS ZA NDANI SANA,
AKAANZA KUNIAMBIA,
"Naomba utambue Kuwa yule mchumba wangu wa wa awali ambaye nd'o wa kwanza kwangu,
Na sija_meet na mwanaume zaidi,
Alikuwa mwembamba flani na miguu yake ni ya swaga sana kama yako,
Na he had been impressing me a lot pindi anapovaa pensi kama wewe.
In short
wewe na yeye ni kama mapacha kimwonekano.
Truly speaking
My big dream ilikuwa kumzalia mtoto ambaye hopefully angefanana naye.
____
Since we are both Single&Free,
Katika mawazo yako,
Take sometime to think about this @Seneta."
**********
AKAINGIA CHUMBANI KWAKE,
AKATOKA NA BAHASHA NZITO YA KAKI,
AKANIKABIDHI IKIWA NA MAANDISHI
"For You Seneta_Wa_Mtwiz"
NAMBA YAKE YA SIMU.
____
TUKASHUKA DOWNSTAIRS,
TUKAINGIA KWENYE NDINGA YAKE INGINE AINA YA @Volkswagen_New_Beetle,
BAADA YA KUGUNDUA KUWA ILE NDINGA YAKE INGINE AINA YA @Suzuki_Jimny_Sierra
HAINA WESE LA KUTOSHA,
AKANIREJESHA GHETTO MISHALE YA YA 02:00+ NA KUNISISITIZA NIMPIGIE MAPEMA ASUBUHI.
AMBAPO BAADAA YA KUCHECK KWENYE ILE BAHASHA
KUNA NOTI KADHAA ZA U$D.
___________
SASA
HUYU DOCTOR SIJUI NIMJIBU NINI??
MAANA'KE KUNA BAADHI YA VIPENGELE KAONGEA KIINGEREZA,
AMBACHO KWANGU ND'O HAKIPANDI KABISAA!!!!