nasikiliza kipindi cha morning magic kupitia magic FM, namuona huyu doc anaongea utadhani ametumwa vile, analaani kitendo cha chadema kutoka nje, anasema kitendo hicho kina kiuka maadili ya mtanzania na kuvunja sheria za bunge. pia amefunguka zaidi kusema kuwa kumlalamikia spika kuwa anapendelea upande flani ni uongo kwani anafuata sheria za bunge.
Kwa taarifa tuu, Prof. Palamagamba Kabudi, ndie mwanafunzi pekee, wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, aliyewahi kupata GPA ya juu zaidi tangu chuo kikuu cha Dar es Salaam kuanzishwa miaka 50 iliyopita, yeye alipata GPA 4.8 ambayo haikuweza kupatikana tena na mtihani wa mwisho, alifumua A+ 6, A ya kawaida 1 na B+ moja!. Hivyo Ph.D yake ni ya halali!.Huyo kama kabudi achana nao kwanza tunahoji hata hizo phd walizipataje labda kwa kudesa wao wanatanguliza ukada zaidi kuliko weledi wa kitaaluma
nasikiliza kipindi cha morning magic kupitia magic FM, namuona huyu doc anaongea utadhani ametumwa vile, analaani kitendo cha chadema kutoka nje, anasema kitendo hicho kina kiuka maadili ya mtanzania na kuvunja sheria za bunge. pia amefunguka zaidi kusema kuwa kumlalamikia spika kuwa anapendelea upande flani ni uongo kwani anafuata sheria za bunge.
Ngoja waje wakujibu wengine, maana mimi nikikujibu huu ugoro wako nitapata bantatizo la wafuasi wa chadema wengi bado wajinga wa siasa wao wanavyotaka kila mtu awe chadema, na huwa hawataki kupingwa, kwao hoja ya nguvu badala nguvu ya hoja.
Pasco,Kwa taarifa tuu, Prof. Palamagamba Kabudi, ndie mwanafunzi pekee, wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, aliyewahi kupata GPA ya juu zaidi tangu chuo kikuu cha Dar es Salaam kuanzishwa miaka 50 iliyopita, yeye alipata GPA 4.8 ambayo haikuweza kupatikana tena na mtihani wa mwisho, alifumua A+ 6, A ya kawaida 1 na B+ moja!. Hivyo Ph.D yake ni ya halali!.
Kupata 1st class ni jambo moja, kuwa na Ph.D ni jambo jingine, lakine kuwa mzuri kwenye field, ni jambo jingine kabisa. Nimrod Mkono, ana pass tuu lakini ndie anaemiliki kampuni kubwa na tajiri kuliko zote za uwakili Tanzania, wakati huyo Kabudi, na 1st Class yake, na Ph.D yake, hajawahi kusimama mahakamani na kushinda kesi yoyote!.
Prof. Issa Shivji ni mmoja wa mabingwa wa katiba, na ameandika mengi kuhusu katiba ikiwemo ukosoaji wa katiba yetu ya mwaka 1977 na jinsi Muungano ulivyokiuka katiba. Serikali imeepuka kumtumia huyu kama mwelekezi kwa sababu atasema ukweli mchungu, badala yake inamtumia Kabudi ili aendelee kuupaka siagi ule mkate wao wa kila siku!.
Nimemsikia asubuhi,
Kweli ni masikitiko makubwa juu huyu mpotoshaji!sijui kazaliwa wapi na haya maneno anayasema akijiamini nini.
Labda nianze kwa kusema, tanzania na hasa katika bunge, hakuna hoja kwa miaka ya hivi karibuni, imepitishwa kwa vigezo vya hoja zilizotolewa na wabunge badala la kelele za kishabiki na kukidhi matakwa yao! Utamaduni upi wa mtanzania anaoueleza, nani hajui utamaduni wa sasa uliojengwa na watawala na kuasi utamaduni wa viongozi wetu waasisi wa nchi! Alienda mbali na kugusia suala la wananchi kuamua juu ya hili, na kweli sisi tutaamua kwani wanachokifanya chadema ni kitenda cha kiungwana kuwasilisha dukuduku lao kwa wananchi, sisi ndo kimbilio lao kwani vyombo husika kama kamati za bunge zimekuwa zikiegamia upande mmoja na hili liko wazi, aliwataka wafanye nini?
Kaenda mbali zaidi kaongelea suala la hoja kama zinakataliwa au hawapewi nafasi inabidi wamfate speaker na kumueleza hivi huyu jamaa vip? Wamfate mara ngapi na kanuni na taratibu za bunge zinasemaje kuhusu hili, mara ngapi amewapuuza juu ya haya maswala, bunge linaamua mambo kwa hoja, bunge hili nilijualo mimi?sio kelele za ndiyoo!je kama watu ni wachache inakaaje hii?tuna vigezo vya kuamua jambo ndani ya bunge kwa kupima uzito wa hoja hapa??? Mbona usomi unaupaka matope bwana benso bana, mbona unajipunguzia credit zako na uwered wako juu ya kutetea uozo na ushenzi unaofanywa na ccm na speaker wao,
umeulizwa swali juu ya upendeleo wa speaker na sikuona jambo la msingi ulililo liongea juu ya hili badala yake umekwepa na kuongelea mambo ya ajabu, je ni wangapi wapo kijiweni na hawana elimu hata ya std 7 lakini huu upendeleo wanauona, kama kweli wewe ni mtaalam wa sayansi ya siasa mbona umeshindwa kulisemea hili??
Wewe ni kada pamoja na unafiki wako kujifanya unatoa maoni na kushauri mambo ya kisiasa nchi, msomi ninayemwamini aliyetukuka na heshima yake itakuwa palepale ni profesa issa shivji, siku zote huyu mzee hamung'unyi jambo na ndo maana serikali hawamtumiii, yeye ndo mtaalam wa sheria na katiba tangu enzi za sokoine na baba wa taifa, je usomi wake umeteteleka wapi hadi nchi ishindwe kumtumia katika kipindi hiki?wanaogopa na kuwatumia watu kama bana wenye mtazamo wa karibu na utetezi wa walanguzi wa nchi yetu.
Matatizo ya hii nchi yanapigiliwa msumari na wasomi kama hawa, mbona hakuongelea utovu wa nidham wa wabunge wa ssm waliotumia muda wa walipa kodi kuzungumza kukashifu na kuwatukana chadema huku speaker wao akiweka mikono yote miwili kwenye kidevu?hilo hakuliona kuwa na utovu wa nidhamu?tumewatuma waende kufanya mipasho ndani ya jengo wanaliliita tukufu?utukufu wa jengo ni upi hai waliomo ni makafiri, hakuna dhambi mbaya kama kuwadhurum wananchi, kuwatapeli na kuwasaliti wapiga kura!hayo hayaoni anaona la chadema tu. Huyu mtu anatakiwa kutangazwa kuwa moja ya watu hatari wa kisisa za nchi yetu!
political immaturity ni tatizo kubwa kwako, shivji ni CDM??tatizo la wafuasi wa chadema wengi bado wajinga wa siasa wao wanavyotaka kila mtu awe chadema, na huwa hawataki kupingwa, kwao hoja ya nguvu badala nguvu ya hoja.
Kwa taarifa tuu, Prof. Palamagamba Kabudi, ndie mwanafunzi pekee, wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, aliyewahi kupata GPA ya juu zaidi tangu chuo kikuu cha Dar es Salaam kuanzishwa miaka 50 iliyopita, yeye alipata GPA 4.8 ambayo haikuweza kupatikana tena na mtihani wa mwisho, alifumua A+ 6, A ya kawaida 1 na B+ moja!. Hivyo Ph.D yake ni ya halali!.
Kupata 1st class ni jambo moja, kuwa na Ph.D ni jambo jingine, lakine kuwa mzuri kwenye field, ni jambo jingine kabisa. Nimrod Mkono, ana pass tuu lakini ndie anaemiliki kampuni kubwa na tajiri kuliko zote za uwakili Tanzania, wakati huyo Kabudi, na 1st Class yake, na Ph.D yake, hajawahi kusimama mahakamani na kushinda kesi yoyote!.
Prof. Issa Shivji ni mmoja wa mabingwa wa katiba, na ameandika mengi kuhusu katiba ikiwemo ukosoaji wa katiba yetu ya mwaka 1977 na jinsi Muungano ulivyokiuka katiba. Serikali imeepuka kumtumia huyu kama mwelekezi kwa sababu atasema ukweli mchungu, badala yake inamtumia Kabudi ili aendelee kuupaka siagi ule mkate wao wa kila siku!.
nasikiliza kipindi cha morning magic kupitia magic FM, namuona huyu doc anaongea utadhani ametumwa vile, analaani kitendo cha chadema kutoka nje, anasema kitendo hicho kina kiuka maadili ya mtanzania na kuvunja sheria za bunge. pia amefunguka zaidi kusema kuwa kumlalamikia spika kuwa anapendelea upande flani ni uongo kwani anafuata sheria za bunge.
tatizo la wafuasi wa chadema wengi bado wajinga wa siasa wao wanavyotaka kila mtu awe chadema, na huwa hawataki kupingwa, kwao hoja ya nguvu badala nguvu ya hoja.