The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,446
- 3,727
Diwani wa kata ya Mtoni wilayani Temeke,Benard Mwakyembe amefanya ziara ya kushtukiza ktk shule ya Mtongani na dispensari ya Mtongani na kutoa maagizo lukuki ikiwemo kuagiza walimu wasitoze michango alafu ameagiza wahudumu wa afya wafanye kazi masaa 24 siku zote za wiki.
Je, diwani kapata wapi mamlaka ya kuagiza watumishi wa serikali?
Haya matamko yatafika hadi ndoani sasa..Nasubiri testimony kutoka kwako mpendwaHahaha
Si kaona kila mtu anatoa matamko?
Kaona asipitwe
Haya matamko yatafika hadi ndoani sasa..Nasubiri testimony kutoka kwako mpendwa
Teh teh..Husband akitoka job ameshatiwa stress za kutosha na matamkoz ya boss akirudi home nae anaanzisha matamkoz kupunguza machunguHaaa
Mpendwa hadi kwenye ndoa tena?
Itakuwa balaa ujue...
Teh teh..Husband akitoka job ameshatiwa stress za kutosha na matamkoz ya boss akirudi home nae anaanzisha matamkoz kupunguza machungu
Teh teh...Magufuli atatunyosha safari hii...Yani ukimuona mwenzako analia wala usimcheke uenda siku yako nawe ikafika..Mana huyu mzee balaa lake si dogo..Hehehe halafu wife anayashusha matamko kwa watoto na housegirl...
Kazi ipo
Imeshaanza kufanya kazi mbona!Hehehe halafu wife anayashusha matamko kwa watoto na housegirl...
Kazi ipo
Diwani wa kata ya Mtoni wilayani Temeke,Benard Mwakyembe amefanya ziara ya kushtukiza ktk shule ya Mtongani na dispensari ya Mtongani na kutoa maagizo lukuki ikiwemo kuagiza walimu wasitoze michango alafu ameagiza wahudumu wa afya wafanye kazi masaa 24 siku zote za wiki.
Je, diwani kapata wapi mamlaka ya kuagiza watumishi wa serikali?
hiyo tamu, miaka fulani ya nyuma wenyeviti wa kijiji walikuwa wakikaa nyuma ya darasa huku mwalimu akifundisha, usihofu hii ndio tanzania
Na mmi nitafanya ziara ya kushtukiza jikoni
ah hahahaaaa mkuu ni mwendo wa kusimamishana tu kazi sa hiviOke wao wawe hawajaosha vyombo......kuna mtu ajira yake itakuwa mashakani