Huyu demu nilidhani mtoto, kumbe mzee

Huyu demu nilidhani mtoto, kumbe mzee

Kuna kabint kanauza chai hapa mtaani kwetu. Dah huku na huku bwana nkaona nikatongoze nkakabandue.

Lakini mawazo yangu yooote nadhani Ni wa miaka kama 19 au 20. ..

Nimekatongoza kakakubali haraka haraka, Leo nakauliza umri wake.... Duh kumbe age imeenda na kana watoto wawili na mmoja anasoma darasa la tatu na mwingine Ana miaka mi 3.

Duh hapa nimeishiwa hata pozi, ukizingatia mie sina hata mtoto mmoja.

Sijui Nim mbeto?
Nimpotezee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula mzigo umeshapewa . Kula mzigo ilimradi asiwe mke wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro hivi unateseka nini kwa mfano??
Kwani wewe unataka kuwagongwa watoto wake wa darasa la tatu au unataka kumla mama yao??
Kama ni mama hao watoto wanakuhusu nini?

Kula mzigo ufanye mambo mengine sio kuomba ushauri kwa vitu rahisi hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kabinti kanauza chai hapa mtaani kwetu dah huku na huku bwana nikaona nikatongoze nkakabandue lakini mawazo yangu yooote nadhani Ni wa miaka kama 19 au 20 nimekatongoza kakakubali haraka haraka, Leo nakauliza umri wake duh kumbe age imeenda na kana watoto wawili na mmoja anasoma darasa la tatu na mwingine ana miaka mi 3 duh hapa nimeishiwa hata pozi, ukizingatia mie sina hata mtoto mmoja.

Sijui Nim mbeto?
Nimpotezee?

Sent using Jamii Forums mobile app
nguvu za kiume ni tatizo hapa maana hata sijaelewa umri na watoto wake wameingiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom