Uandushi mahiri vinginevyo tusingesoma"huyu demu namkwepaje"[emoji849][emoji849]
Au ni Mimi na wenge la usingizi..![emoji848]
Andika barua kwa bank manager ukielezea ishu yako na namna utakavyolipa ukieeksitend muda wa malipo usisahau kuambatanisha barua ya muajiri pia....Wadau mimi mzima najihami na janga hili la COVID 19. Natumaini tuko pamoja pia.Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi.Jana Ijumaa,mwajiri wangu alitoa barua kwa wafanyakazi wake kuwa kuanzia mwezi huu wa May mwishoni atalipa mishahara nusu na kuanza kutoa likizo bila malipo endapo janga hili litaendelea baada ya hapo.Yaani June na kuendelea. Nina mkopo benki ambao nategemea kumaliza Disemba 2020.je wadau, benki iliyonikopesha inaweza kunifanyia marekebisho ya mkopo nilipe kiasi ili nisiende bila chochote nyumbani endapo nikiongea nao? Natumaini janga hili litapita tutakuwa salama tena. Naomba ushauri wenu.Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau mimi mzima najihami na janga hili la COVID 19. Natumaini tuko pamoja pia.Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi.Jana Ijumaa,mwajiri wangu alitoa barua kwa wafanyakazi wake kuwa kuanzia mwezi huu wa May mwishoni atalipa mishahara nusu na kuanza kutoa likizo bila malipo endapo janga hili litaendelea baada ya hapo.Yaani June na kuendelea. Nina mkopo benki ambao nategemea kumaliza Disemba 2020.je wadau, benki iliyonikopesha inaweza kunifanyia marekebisho ya mkopo nilipe kiasi ili nisiende bila chochote nyumbani endapo nikiongea nao? Natumaini janga hili litapita tutakuwa salama tena. Naomba ushauri wenu.Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Demu ndio benki...Write your reply...demu yuko wp😀
Tucheke wote kwa kweli,icho kichwa ni hatari[emoji23][emoji23][emoji23]NACHEKA SANAA, KICHWA CHA HABARI KINAFURAHISHA SANA