Huyu demu kazidi mizinga::::


tukale polisi........??????
 
Hahaha kweli hatai ZeMarcopolo na mimi nimeshangaa sana mleta mada angeongeza japo buku 4 ifike 10 maana ni aibu aisee wanaume 7??? She must be really ugly!
 
Mbona kama fix? Ni mazungumzo gani yaliyokufanya kujua kuwa aliambulia buku sita tu?

manake alimwambia anamtumia buku 5 yule demu akasema nitumie buku sita pamoja na ya kutolea.......nadhani umenipata
 
Hahaha kweli hatai ZeMarcopolo na mimi nimeshangaa sana mleta mada angeongeza japo buku 4 ifike 10 maana ni aibu aisee wanaume 7??? She must be really ugly!

mkuu maundumula sijaenda kupunguza wala kuongeza kwa kile ambacho nimekisikia .....
 

Muonee huruma dada wa watu, kapiga simu 7 kaambulia buku 6 tu! Gharama ya hizo simu si zinazidi alizopata?
 
me nafikir ingewekwa jukwaa la jokes. hivi buku sita ni mzing? tena kutoka kwa watu saba anapata buku sitaaa

aiseee hapa ukweli huko mbali kabisa.
 
Ndio shida ya biashara ya ngono. Yaani inflation rate haihusiki na ngono. Gesti inapanda bei ila mngonolewaji haongezewi pato. Hii biashara ingerasimishwa tu yaishe!

Mngonolweaji anapata raha na kadhalika, guest inatoa gharama ya kufua shuka zilizotumika.
 
Ila huku kwetu hapo kwenye buku 6 ukiongezea buku2 ni kodi ya chumba so mi nauona shost mpiganaji mpk hapo

Akipata mapedeshee wengine 37 kama hao kodi ya mwaka tayar
 
Nmegundua kwamba ulipanda Upendo kuja Dar.

Pia nmegundua kuwa uliacha kufanya mambo yanayokuhusu ukawa unafuatilia dada segito anafanya nini.

Idea imetulia lakini
 
Mkuu mambali hivi buku 6 nao ni mzinga basi? Hebu niulize mi niliyepigwa mzinga wa kufa mtu na mtoto kinyamwezi wa kule Isevya Tabora mpaka nikaamua kubadili lyn ya simu... Unafikiri mchezo eeeeh.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh hiyo elfu sita itamsaidia nini sasa maana vocha na nguvu aliyotumia kuwatafuta hao watu7 maybe anabakiwa na 4000 faida hahahahahahahaha

Apige?? yeye ni tafadhali nipigie tu!!!
 
Mkuu
mambali hivi buku 6 nao ni mzinga basi? Hebu
niulize mi niliyepigwa mzinga wa kufa mtu na mtoto kinyamwezi wa kule
Isevya Tabora mpaka nikaamua kubadili lyn ya simu... Unafikiri mchezo
eeeeh.

teh teh teh mkuu ilikuwaje huo mzingo wako,au ulichukua wale wa pale chuo cha utumishi(uhazili) dadavua ili na sisi tusije tukalizwa na watoto wa cheyo na kanyenye!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…