functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
[emoji1] [emoji1] [emoji1]hivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamin huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa me siwez mizinga isiokuwa na maana.
huyo wa mikoani, mwanaume wa dar asingeanzisha thread ya kipuuzi kama hioUmeyataka mwenyewe mjomba buku 3 tu! Wanaume wa dar ovyo sana
Hapana mkuu, siwez kutoa pesa wakati mzigo sijauonaUmeyataka mwenyewe mjomba buku 3 tu! Wanaume wa dar ovyo sana
sio ubahili mkuu hela sio ya kuchezea hovyo hovyoBuku 3 yaani elfu 3? Ebu acha ubahili
Yaaaan....nasikia hadi kichefuchefu aaaagh!Kweli nimeamini kwamba, wanaume ni kiumbe kinacho toweka kwa kasi ya ajabu sana Duniani...
Shida yenu mademu mu kama mzimu kila mnachotaka mtu atoe what if alikuwa hana???Acha ubahili mkuu
HUU NDO UJINGA NISIOUTAKA MIMI NDO MAANA NIKITONGOZA DEMU LEO NA LEO LEO NATAKA MZIGO .hivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamin huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa me siwez mizinga isiokuwa na maana.
Nimejifunza mkuu sirudii makosaHUU NDO UJINGA NISIOUTAKA MIMI NDO MAANA NIKITONGOZA DEMU LEO NA LEO LEO NATAKA MZIGO .
SASA WEWE UNAMTONGOZA DEMU LEO ALAFU UNASHIDWA KUOMBA MZIGO SASA ULITEGEMEA NINI KAMA SIO KUPIGWA MZINGA SISI WENZAKO HUWA TUNAWAHI MAPEMA KUOMBA MZIGO
umeona eeh? na kiukweli nilikuwa sina kituShida yenu mademu mu kama mzimu kila mnachotaka mtu atoe what if alikuwa hana???
Kwa iyo papuchi yake ndo ya kuichezea ovyo?sio ubahili mkuu hela sio ya kuchezea hovyo hovyo
Ukiwaendekeza hawa mbulu kenge utakufa masikini, mimi kuna kimdada kimoja chugga kimeona weekend imetimia basi shobo zikapitiliza nikakiambia njoo faster mara hicho nikakipiga msosi wa nguvu kisha nikajusemea hivi nina gheto why nipoteze pesa hotelini nikapiga mzigo adi bonjour..!umeona eeh? na kiukweli nilikuwa sina kitu