Fundi_Mjasiriamali
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 745
- 1,353
Huu ndo wasiwasi wangu... WENGINE WAKIACHWA HAWATAKI KUACHIKA...Na usije shangaa ikawa alikuwa hata Ex girlfriend wake hivyo kaamua kumchafua tu
Mahusiano na wasio wastaarabu ni shidaVyovyote ilivyo alivyofanya sio vizuri, hata kama kaiokota picha ya mtu barabarani ndio afanye alichofanya? Sio ustaarabu kabisa
Kweli kabisa mkuuMahusiano na wasio wastaarabu ni shida
Umeona Mkuu. Sababu haiingii akilini kabisa.Huu ndo wasiwasi wangu... WENGINE WAKIACHWA HAWATAKI KUACHIKA...
Wa hivyo usikute keshamdai vyote alivyowahi kumpa... Pengine hadi mbegu...
Ndo hivyo.. usikute mdada wa watu huko aliko anahangaika namna ya kulipa mbegu za watuUmeona Mkuu. Sababu haiingii akilini kabisa.
Hahahaaa. Eti pengine hadi Mbegu.
hahahahahaTofauti na matatizo ya akili naomba kujua sifa zake nyingine.
Mpiga kokoto au mpiga kikokotoo?
Jamani wewe. DuuhNdo hivyo.. usikute mdada wa watu huko aliko anahangaika namna ya kulipa mbegu za watu
Hizi ID fake bana. Usikute ni wewe mwenyewe.Kama kuna mtu yupo tayari ajitokeze nitampa namba ya simuView attachment 986683
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm sijamuelewa,labda ulikuwa naye kwenye uhusiano kakukutosa unamsambazia Picha zake? Aaah si vizuri but kama umetumwa upige promo ndugu yangu Zero IQ yupoHivyo kakutuma au umejuaje kama ana hitaji hilo?
😁😁😁 imeshushwa x2 na kupigwa rangi mpya kwa Wachina🏃🏃mimi kabla sijaja kuchukua nammba naomba kuuliza engine yake 😉😉 vipi haja wai kushusha chini, na vipi kuhusu usafii 😛😛😛