Kama ni wa moro nahisi ndiye aliyemuingiza mjini mheshimiwa Malima naibu waziri.m2 wa moro
Mutoto ya Muswati hiyo
na ndio mana mswati kila mwaka anaongeza mmoja,naona karibia ataanza kuchukua double double!
kaficha kitumbua cha mchele nyama,lakini mtamu kwa muonekano.
Mtoto wa kwa Muswati huyo sio mmasai