The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
Du huyu mdada anahatarii kubwa maana punda dume akimkuta kwenye hilo pozi hatauliza. Ni kuzamisha rungu tu......
Kama vile Nyalandu alivyoenda States na Aunt Ezekiel kutangaza utalii kwa gharama za wizara. Ni sheeedaaaa!:flypig:Mmh! huo nao ni ubunifu. Nafikiri Prof akimuona anaweza kwenda naye majuu kama kitangazio cha vivutio vyetu.
JF tabu sana, yaani nimecheka, ngoja nilale sasa.
Mbona alisahau kuweka mkia?
Mbona alisahau kuweka mkia?
huyu dada akili zaki zmeenda likizo, anajaribu kujifananisha na mnyama pundamilia
View attachment 199624
wapo wataouweka... anawasubiri...