Huyu dada simwelewi

Ulimtongoza wann wakat humuelewi?!
 
Reactions: B49
Range ya miaka 6 sio mbaya... Ni mwanamke anahitaji upendo... Umri usiwe kikwazo...
 
Reactions: B49
stop insulting others
 
inaonekana kabisa umedandia mada
Wewe ndio umedandia swali, sikukuuliza wewe sawa mkuu?

Sina shaka kuwa uwezo wako wa kufikiri unalingana na wa mtoa mada.
 
Wewe ndio umedandia swali, sikukuuliza wewe sawa mkuu?

Sina shaka kuwa uwezo wako wa kufikiri unalingana na wa mtoa mada.
unaongea na mimi au na simu ...huwezi uliza swali wakati jibu lipo kwenye mada mr mdandiaji
 
Hakikishaa Mnapimaa Ngoma mzeee...
Utalamba galasaa oohooo
 
Shida ya sisi wanaume tukikataliwa tunaaza kusema mwanamke ananyodo tukikubaiwa tuna mshanga na kumdhafau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…