Ni mchepuko wangu mpya, niko naye huu ni mwezi wa tatu. Sijawahi kumpa hela, jana nimelala naye usiku mzima, asubihi ananiaga anaondoka nimempa elfu tano ya nauli. Akaikataa, akasema asante anayo nauli.
Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.
Nimueleweje?
Muda huu nampigia kumuuliza amefika wapi, nakuta nime-block-iwa, Simu na WhatsApp.
Nimueleweje?