Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,146
Halaf kitu kimoja nimeshangaa..mbona ilikua ina trend kwenye 5k lakin muda huu inasoma 4k..Jahazi limeanza kuzamaa...mabaharia wamevua zana katikatia ya mechi![]()
What is happening??
Halaf kitu kimoja nimeshangaa..mbona ilikua ina trend kwenye 5k lakin muda huu inasoma 4k..Jahazi limeanza kuzamaa...mabaharia wamevua zana katikatia ya mechi![]()
Nani hao..mods au????Sijui wamefuta comment zingineila zitafikaa tuu...!!
Ila kama mwanaume kuna kasehem moyoni kaliumia sana maana nilimkazia hata no sikumuomba, alikuwa na ile vijana wa siku hiz wanaita churaAisee, kama nakuona ulivokua unashangaa moyoni, ila wengine ni wachangamfu mpaka wamezidi kumshobokea mtu usiyemfahamu hivo vipii



nilijiona dhaifu sana ila nyuzi za ngoma zimenifanya nijipongeze kwa kuvuka kikwazo


Hahaaa, huo ndo uanaume mkuu,kushinda majaribu(chura)Ila kama mwanaume kuna kasehem moyoni kaliumia sana maana nilimkazia hata no sikumuomba, alikuwa na ile vijana wa siku hiz wanaita churanilijiona dhaifu sana ila nyuzi za ngoma zimenifanya nijipongeze kwa kuvuka kikwazo
![]()
,je kama alikuchangamkia hivo wewe ikiwa hakufahamu ,nadhani huwa anawachangamkia wengine pia huyo, so hajatuliaa
Naona umeokota dodo kwenye mnazi, angalia usije ukawa wewe ndio Fursa


Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona isiwe shida mbona anaangaika mara kwenye bamz anastuka nkamwambia emu lala hapa mapajani kwa kwangu
Ameanza kwa kunionea huruma mara ooh mm kichwa changu kizito ila baadae naona kashuka mwenyewe.
Tulivyofika mkoa flani hivi stend akaamuka nkajua hatolala tena.
Mara paa naona ananilalia tena mwenyewe tena kaweka na sweta kabisa namsikilizia anaota. Mwanzoni nilihisi net work inaweza kuanza serch lakini naona nme reluxy.
Hapa nafikiria tukishuka kula nimnulie na msosi tukifka tu mwisho wa safari nchukue na namba.
Ni kwa nia njema tyu wadau haijawahi nikuta hii.
Wanaume tunashida kweliHahaaa, huo ndo uanaume mkuu,kushinda majaribu(chura),je kama alikuchangamkia hivo wewe ikiwa hakufahamu ,nadhani huwa anawachangamkia wengine pia huyo, so hajatuliaa
![]()


sometimes unajua kabisa hauko salama ila unaamua kua kama kondoo anaepelekwa machinjioni

