Huyu dada nashangaa hii confidence kaipata wapi?

Gamboshi radio si ya kuchukua kutoka kwa mwenyekiti, hua zinatoa sauti kutoka kwny transformer direct.
Mwambie Katibu Tarafa akusomee hiki ulichoandika. Elimu bure jiunge MEMKWA
 
Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona isiwe shida mbona anaangaika mara kwenye bamz anastuka nkamwambia emu lala hapa mapajani kwa kwangu

Ameanza kwa kunionea huruma mara ooh mm kichwa changu kizito ila baadae naona kashuka mwenyewe.

Tulivyofika mkoa flani hivi stend akaamuka nkajua hatolala tena.

Mara paa naona ananilalia tena mwenyewe tena kaweka na sweta kabisa namsikilizia anaota. Mwanzoni nilihisi net work inaweza kuanza serch lakini naona nme reluxy.

Hapa nafikiria tukishuka kula nimnulie na msosi tukifka tu mwisho wa safari nchukue na namba.

Ni kwa nia njema tyu wadau haijawahi nikuta hii.
Mara tutasikia ya tunda kimasihara...
 
"Abiria chunga mzigo wako".Sasa mizigo mingine hata ukisafir nayo huwa inakaa kwenye buti na huwez kuikagua kama hushuki mwisho wa safar..sijui unachungaje hapo..
Inabid uwe mpole tu
,mizigo ya kwenye butii, wangu ntakaa nao ndani hamna kuwekwa kweye buti , yaani nasafiri naye everywhere aisee ,sitaki mambo ya vidada kulalia mapaja ya watu
 
Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona isiwe shida mbona anaangaika mara kwenye bamz anastuka nkamwambia emu lala hapa mapajani kwa kwangu

Ameanza kwa kunionea huruma mara ooh mm kichwa changu kizito ila baadae naona kashuka mwenyewe.

Tulivyofika mkoa flani hivi stend akaamuka nkajua hatolala tena.

Mara paa naona ananilalia tena mwenyewe tena kaweka na sweta kabisa namsikilizia anaota. Mwanzoni nilihisi net work inaweza kuanza serch lakini naona nme reluxy.

Hapa nafikiria tukishuka kula nimnulie na msosi tukifka tu mwisho wa safari nchukue na namba.

Ni kwa nia njema tyu wadau haijawahi nikuta hii.

na kukulalia kote na kumnunulia chakula halafu uchukue namba tuuu!!!
hapo inatakiwa umalize kabisa!
 
,mizigo ya kwenye butii, wangu ntakaa nao ndani hamna kuwekwa kweye buti , yaani nasafiri naye everywhere aisee ,sitaki mambo ya vidada kulalia mapaja ya watu
Ahahahahah..Haya mkuu.All the best. Ila si unajua bora "wali maharage" kuliko "walimwengu"?
 
Na lazima alinasa mtegoni huyu ,mazoea ya kijinga hivo eti safari, sitoruhusu mume wangu asafiri mwenyewe mimi kama mambo ndyo hivi humo safarinii
Last week nilipata tukio kama la mleta mada, yani binti hatufahamiani lakini mazoea mengi na aliomba kubadili siti akae na mimi. Kama ningeingia mtegoni na hizi nyuzi za leo lazima ninge uninstall app ya jf kabisa
 
Ohooo, inakuaje mtu mpaka anakuletea mazoea ya hivo aisee, ungejutaa
 
Kwa jinsi nilivyo kauzu watu wa hivyo hua nawaona kama wana agenda za siri unaweza bebeshwa mizigo usiyoitegemea .
Aisee, kama nakuona ulivokua unashangaa moyoni , ila wengine ni wachangamfu mpaka wamezidi kumshobokea mtu usiyemfahamu hivo vipii
 
Back
Top Bottom