Huyu dada nashangaa hii confidence kaipata wapi?

Huyu dada nashangaa hii confidence kaipata wapi?

Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona isiwe shida mbona anaangaika mara kwenye bamz anastuka nkamwambia emu lala hapa mapajani kwa kwangu

Ameanza kwa kunionea huruma mara ooh mm kichwa changu kizito ila baadae naona kashuka mwenyewe.

Tulivyofika mkoa flani hivi stend akaamuka nkajua hatolala tena.

Mara paa naona ananilalia tena mwenyewe tena kaweka na sweta kabisa namsikilizia anaota. Mwanzoni nilihisi net work inaweza kuanza serch lakini naona nme reluxy.

Hapa nafikiria tukishuka kula nimnulie na msosi tukifka tu mwisho wa safari nchukue na namba.

Ni kwa nia njema tyu wadau haijawahi nikuta hii.
unazani hakuna.wanawake vichaa wazuri alikuwepo Catherine mzuri balaa Ila ni mwehu na anavaa kuendana na wakati wageni kitaa wamejipigiaga sana tu.
 
Kaiacha iko inachakata utumbo mpana.
Magufuli anavyogoma kugawa chakula cha bure safi sana. Mida ya shamba unashika simu unachati, piga jembe chakula cha msaada hakuna
 
Sawasawa.

Jo Makini kwny wimbo wake wa Mchele ameimba'Tunawalisha sana ndo bado mnakuuuunya'.

Mchele mchele mchele
Magufuli anavyogoma kugawa chakula cha bure safi sana. Mida ya shamba unashika simu unachati, piga jembe chakula cha msaada hakuna
 
Safari ya usiku hiyo itakua ,kama nimchana nakaamua hivyo basi nihayawani
 
Ukishamkula huyo uende kule kwenye Uzi wa mabaharia wanaokula tunda kimasihara ukatoe mrejesho
Ahahahha..mkuu kumbe tuko pamoja kule..sijaona hata "like" yako moja kule wala "ushuhuda"
Naona ni mwendo wa kimya kimya
 
Sawasawa.

Jo Makini kwny wimbo wake wa Mchele ameimba'Tunawalisha sana ndo bado mnakuuuunya'.

Mchele mchele mchele
Unapata na muda wa kusikiliza hip hop mizimu ya kijiji chenu imekubali? Na huyo bwana Afya alikubali redio yake uishike?
 
Ohhooooo.....
Naona orodha inazidi kuongezeka kwa walio unganishwa kwenye gridi ya taifa....
Pole sana mkuu
 
Ogopa sana kusafiri basi moja na watu wenye akil kama hiz wakiwa na situation kama hiz.
Huwa hawachelewi kuombea gari liharibike mlale usiku njian ila wafanye yao..Hawa ndio wanga wa kwanza wa safar
 
Unapata na muda wa kusikiliza hip hop mizimu ya kijiji chenu imekubali? Na huyo bwana Afya alikubali redio yake uishike?
Gamboshi radio si ya kuchukua kutoka kwa mwenyekiti, hua zinatoa sauti kutoka kwny transformer direct.
 
Na lazima alinasa mtegoni huyu ,mazoea ya kijinga hivo eti safari, sitoruhusu mume wangu asafiri mwenyewe mimi kama mambo ndyo hivi humo safarinii
"Abiria chunga mzigo wako".Sasa mizigo mingine hata ukisafir nayo huwa inakaa kwenye buti na huwez kuikagua kama hushuki mwisho wa safar..sijui unachungaje hapo..
Inabid uwe mpole tu
 
Ili ujue kama amefika salama mkuu..... Nimejua nia yako una nia nzuri na huyo bibie..... Najua network imesoma 4g lite ila hapa umeamua kujifanya superior 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom