Huyu dada namchukulia kama dada yangu, ila amevuka mipaka

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,897
19,080
Wakuu kuna sehemu nimehamia kuishi hapa hapa mjini daslam, ni vi apatiment vyakishakaji vya hapa town.

Hapa nimemkuta dada mmoja kwangu ni mtu mzima kidogo maana anaweza kua mid thirties au late thirties, ni jirani yangu,dirisha lake la chumbani linatazamana na langu,kama madirisha yako wazi unaweza kusikia mazungumzo ya pande zote mbili.

Anaonekana yuko so displined,hajaolewa,ni security officer wa taasisi moja ya serikali.

Ugomvi wangu na yeye kwanza ana mkia mzuri,my greatest weakness, pili juzi kaleta buzi usiku akaniharibia usiku wangu kabisa,dada analia,dada analalamika,kwa yale makelele dada anaonekana ni fundi,ni aina ya watu naowataka.

Sasa dada kwa bahati mbaya ameingia anga zangu,hajui kama juzi nilisikiza makelele yake kaomba kesho nimtoe tukapige story tu. Nimeamua kuvunja mipaka,nimeamua kumtafuna,liwalo na liwe ila kesho hatuwezi kurudi hom.

Ntawapa mrejesho kesho.
 
Kitu nachochukia kusoma thread nusu nusu..Naomba huyo bi dada akutolee nje ili usirudi na mrejesho..:D:D
 
Basi na mimi kuna mbaba kaingia anga zangu kanambia atanitoa outing, haturudi nyumbani Leo liwalo na liwe
Kumbe na wewe ulikuwa unamsikilizia dirishani akimkamua mtu..Eti na huyo mbaba anamiguno umeipendeleao_Oo_O
 
Kumbe na wewe ulikuwa unamsikilizia dirishani akimkamua mtu..Eti na huyo mbaba anamiguno umeipendeleao_Oo_O
Umejuajeeee?
Sema vidirisha vilivyoangaliana niliona live,
Na miguno yake balaa. .

Leo haturudi ng'o
 
Kumbe bado kuna watu siku hizi wanakula chapo na kusikiliza maraha ya watu..Nitakuwa nafanya makusudi nitaliza vifaranga mpaka mtaa wa saba wasikie..
 
Hapa ndipo ilipofikia JF HOME OF GREAT THINKER....
Wewe ulitaka ifikie wapi?
Kama jambo halikuhusu unaachana nalo,wote hatuwezi kua na msongo wa mawazo kama wewe,tunajipa furaha utakufa bure siku sio zako.

Unataka kujifanya unawaza mambo ya nchi ulikua wapi siku zote? Achana na yasiyokuhusu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom