Huyu dada mi navutiwa naye!

We humpendi, mbona alitangaza anasaka mume we ulikuwa wapi? Hauko serious mkuu, jaribu mwingine

Hiyo siredi nilikuwa kwenye kifungo mkuu. Unajua kule kwa wanasiasa hukawïi kupata kifungo!
 
Sasa huu ushindani mi naona ushakuwa mwingi... Mkuu Jerrymsigwa mi naona nikuachie tu maana amu mwenyewe kapiga kimya...

Afadhali mkuu umejiondoa. Ngoja nianze kupigania koloni hapa.
 
Last edited by a moderator:

Waoooh! Samahani nimechelewa kuja! Hapa nilipo nimezimia kama mara mbili baada ya kukuona. Kuna jamaa hapo njiani wamenitishia kunimushi eti we ni mali yao, kweli?
 
Last edited by a moderator:
Waoooh! Samahani nimechelewa kuja! Hapa nilipo nimezimia kama mara mbili baada ya kukuona. Kuna jamaa hapo njiani wamenitishia kunimushi eti we ni mali yao, kweli?

aaaaa si umeona wamejitoa mlipuo wako mkubwa wameogopa bana.
 
Zamani posa ilikuwa inapelekwa na wazazi wa kijana tena kwa heshima huko nyumbani kwa wazazi wa binti....

Siku hizi kumbe hata wazazi hawana haja bali mnapeleka JF??
amu wambie waje kwa babu ili usije kupewa laana bure...

Babu DC!!

Babu tunamalizana sie kwanza aafu wazazi baadaye. Mkia wa kondoo utaletewa lakini, usihofu!
 
Last edited by a moderator:
hayo maneno yako mbaya maneno ya Quran yasiyofutika.
Halafu sitaki kutibuliwa siku bibie.

Sisikilizi ushauri wake aisee! Mimi na wewe tu!
 
Umeona mamaae... marafiki ni kusaidiana

Naona umeamua kuhamia kwenye kutafuta hg, ila mnampa shida amu wangu kusoma hizi stori
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…