hayo maneno yako mbaya maneno ya Quran yasiyofutika.usione comments za upole ukajua ni wapole, usione thread za kulaani ukajua wao ni wasafi........
wivu hauusiki kwa namna yoyote ile!!!!!
Zamani posa ilikuwa inapelekwa na wazazi wa kijana tena kwa heshima huko nyumbani kwa wazazi wa binti....
Siku hizi kumbe hata wazazi hawana haja bali mnapeleka JF??
amu wambie waje kwa babu ili usije kupewa laana bure...
Babu DC!!
hayo maneno yako mbaya maneno ya Quran yasiyofutika.
Halafu sitaki kutibuliwa siku bibie.
Sasa huu ushindani mi naona ushakuwa mwingi... Mkuu Jerrymsigwa mi naona nikuachie tu maana amu mwenyewe kapiga kimya...
Amu mie nalala zangu, naona chenga tu nimemwachia huyu new kidume bana
Amu mie nalala zangu, naona chenga tu nimemwachia huyu new kidume bana
Unajitoa mapema hivi!!!
thats very general.....
we si ndo wa kwanza kujitoa au umesahau?
Unajua baada ya mimi kupunguza ushindani nilidhani Jerry atatumia opportunity. .. sasa na yeye anajiengua mapeema...aarrrghh.
huyu jerry yeye alitaka atengewe mpaka sebuleni.
Amu mie nalala zangu, naona chenga tu nimemwachia huyu new kidume bana
Amu mie nalala zangu, naona chenga tu nimemwachia huyu new kidume bana
Itabd nimshtue aanzie jikoni hyko huko...
Hivi ulifanikiwa kupata house girl?