Huyu dada leo kanichana ukweli

Hata uoge mara 10 ndo maana hata maiti inapakwa manukato japo inaosha safi...Tambua sisi binadamu mwili mzima kitokacho kidogo kama ushuzi, jasho basi huleta uchafu kwa namba yeyote kwa maana iyo manukato ni muhimu kwa kweli ni ustaarabu pia.
Sawa mkuu.
Unarecommend brand gn
 
Efu selasini unapata deodorant tu.
 
Creed invictus,aventos, sauvage yaani hata za kupima zipo kibao kwa hapa dar.

Mi bila perfume siwezi kutoka na mazoea since ni mdogo.
Kariakoo zakupima si napata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…