Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,933
- 236,484
Nimekuletea collection ya Black OpiumNdugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?
Pafyum nzuri ambayo hutajutia kuanza matumizi ya pafyum ni AMBITION,bab kNdugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?
50K CREED? zinakuwaga za ukweli au zile za kuchonga tuuJiongeze uchukue angalau CREED AVENTUS YA 50K utanipa mrejesho
Mkuu Tumia Kay Ali & Mousuf....!! One of ze Best Parfum in Town...!! Hii Kula Time atataka Umkumbatie Labda Tu Awe Mfuga Mbuzi😂Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?
Ha haha haaaaaaa......Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili.
Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?
Ni nzuri50K CREED? zinakuwaga za ukweli au zile za kuchonga tuu
Ni ML ngapi kwa 30k?Nimekuletea collection ya Black Opium
Ina perfume,Shower gel na lotion
Vyote hivyo unavipata kwa 30k tu!
Karibu sana View attachment 2517206
100Ni ML ngapi kwa 30k?
Hii kali sana ila bei kubwa pia. Siyo chini ya 150K.Antonio Banderas [emoji3]