mangi mandara
Member
- Aug 24, 2013
- 64
- 2
shkamooni wakubwa zangu wadogo zangu marahaba,
Mimi ni kijana nna miaka23, nna mpenzi wangu mpaka sasa ni miez mitatu niko nae.Tatizo lake nisipompigia simu au sms walau siku mbili basi ujue ni shida.
Kama leo kaka ake kanipigia simu ananambia mbona,anapasua simu huku home? nkamwambia mi sijui chochote.
Baadae nkapga simu iliita kama mara5 akupokea, badae nkagundua kumbe alivunja simu na line sjiui kanikomoa au kajikomoa yeye au ndo utoto au ndo udogo ktk mapenzi.
Je huyu binti ananipenda au magumashi?
Tafadhali ushauri jamani.