huyu dada fnl deejay mchangamfu

huyu dada fnl deejay mchangamfu

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,825
Reaction score
16,903
anatia hamasa hata usingizi usije ameimudu disc vyema ma dj wanawake wanaweza sana kumbe na anapangilia nyimbo vizuri
 
Yaani wewe mwanamke huwa natamani sana kukugegeda,lakini kila nikikupigia hesabu nakuona umepanda F16 wakati mimi nimepanda baiskeli,ila ipo siku walahi lazima nitakupata tu,tena kuanzia mwakani huo mgegedwa ni halali yangu kabisa na sitafanya kosa itakuwa kitu na box.
 
Ndg yangu,usibabaike na ma avarta yao hayo, unaweza kukuta sio dem wa maana.
 
Yaani wewe mwanamke huwa natamani sana kukugegeda,lakini kila nikikupigia hesabu nakuona umepanda F16 wakati mimi nimepanda baiskeli,ila ipo siku walahi lazima nitakupata tu,tena kuanzia mwakani huo mgegedwa ni halali yangu kabisa na sitafanya kosa itakuwa kitu na box.
una hamu ya kumgegeda masai dada kwani yangu ya dhahabu?
 
masai dada wa kawaida sana mi namfahamu vizuri anaishi hapo tandale kwa tumbo.

sijasemea uzuri wame kwanza hata nikimlinganisha na mimi labda tumefanana tu nywele(kidin)

nilichoongelea ni kazi pale anazungusha sana disc yupo njema
 
Last edited by a moderator:
Aisee hiyo courage ya Ku react na comments tata in very humble way unastahili pongezi kwani wewe hutumii kloriti ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom