Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,557
Habari yako mwana JF,
Ni matumaini yangu hamjambo na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa. Niende kwenye kiini cha uzi wangu. Kuna dada ameniomba nimsaidie kupost tangazo la kutafuta kazi.
Umri wake ni miaka 20, Elimu yake ni kidato cha Nne ( amehitimu mwaka jana).
Anapoishi ni Dar Es Salaam Anaomba kupatiwa kazi halali ya kumuingizia kipato, hivyo kama utaguswa tafadhali msaada wako ni muhimu sana kazi kama kuuza duka, stationary, duka la M-pesa, Tigopesa, kazi ya kuuza mgahawa na zinginezo.
Kwa atakayeguswa naomba ani pm nimpe mawasiliano ya huyo dada.
Asanteni