Huyu dada ananichanganya kweli kweli

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,105
Reaction score
1,262
Habari wakuu,

Kuna binti mtaani jirani nilitokea kumpenda baada ya kumweleza nia yangu akadai ana mpenzi, niliendelea kumfatilia nikijua huwa sio watu wa kukubali kirahisi baada ya kuwasiliana kwa muda akaanza pozi kibao nikamshiti zimepita week mbili kaanza kunitafuta tena, hii imekaaje.

Wakuu nia yangu nikuoa sitaki ujanja ujanja
 
Una malengo nae kwanza??
 
Wakat unamtafuta ulikuwa hujui dhumuni lako au?!
 
Usijali ni kawaida anakutaka sema ni kibiriti tu kilikuwa kinatikiswa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iyo ni dalili ya kuwa ana ipenda kampani yko kilichobaki ni ww kucheza kadi zko vizuri msichana asiekuwa na mpango na ww ukimpotezea na yeye anakupotezea mazima

G.O.M.D
 
Kawaida kwa kizazi cha sasa msichana mwenye miaka 20 na kuendelea akisema hana boyfriend lazima utashangaa na hutoamini ... Wengi huwa wanakua wametengana na wenzi wao ama wamechoka tu kuwa na wapenzi au wanawapima kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano tena kama aliumizwa ... So am sure alikwambia ana mtu kama njia ya kujihami na si vinginevyo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…