Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,200
Kwa kuwa Invisible kaja na thread yake ya mafumbo na vishindo na sisi wengine tunajibu kwa mafumbo

Kwa mtu yoyote aliyesoma huki kitabu atajua ninachoongea hapa ni nini...

confessions-of-an-economic-hitman.jpg



Kuna CIA tena raia wa USA kaikamata kisawa sawa serikali ya Tanzania na amekuwa bize kuongea na akina Paul Hicks ili waongee na serikali ya Obama kuhusu MCC

Clue: Ni mwanamke, anaingia ikulu kama chooni na yuko very much linked na hizi pesa za MCC na akina SYMBION ambao washapewa dili la kuinunua TANESCO, watapewa projects zote za power generation, na kwa kuonyesha jinsi gani akina Paul Hicks walivyoweza kuwapiku akina GE. Basically washa sema wazi kuwa mpaka sub contracts zote zitarudi kwa kampuni ambazo ziko affiliated na wao. Tazama hili jedwali hapo chini utaelewa:


ufp1quyragy8c4utlql3rgano1_500.jpg


kwa mnaocheza monopoly na yule jamaa yetu aliye graduate chuo ya national security naamini akiamka anaweza kuja kum out kwa jina na miradi feki ambayo huyu mama amekuwa aki front na list ya maofisa wa ngazi ya juu pamoja na mawaziri ambao wako kwenye payroll yake

pict45.jpg


Makao makuu ya CIA, Langley Virginia

clue number 2. Huyu si kati ya wale CIA ambao serikali kisheria lazima iwafahamu ambao wako ubalozini na balozi zote dunianiamekuwa kama vile semi independent contractor japo waajiri wake wako hapo juu ambao in essence ni serikali ya USA.


connection ya Paul Hicks mtaipata humu na hizo pesa za MCC ambazo inabidi zirudi USA zaiidi bonyeza hapa:


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152989-symbion-power-intelligence-watupu.html


Hivyo mnaposoma kuwa USA wamekata misaada na blah blah zingine jueni kuwa hawa hawa USA walishawahi kumfukuza mwakilishi wa WORLD BANK Tanzania lakini hii itabidi niifungulie thread nyingine kwani inahusika directly na ESCROW
 
Kwa kuwa Invisible kaja na thread yake ya mafumbo na vishindo na sisi wengine tunajibu kwa mafumbo

....Kuna CIA tena raia wa USA kaikamata kisawa sawa serikali ya Tanzania na amekuwa bize kuongea na akina Paul Hicks ili waongee na serikali ya Obama kuhusu MCC

Clue: Ni mwanamke, anaingia ikulu kama chooni, na ni black American

clue number 2. ...huyu amekuwa kama vile independent contractor japo waajiri wake wako hapo juu
:glasses-nerdy:

Bado utaulizwa kuwa mbona humtaji?
 
Dunia ya leo waisraeli wanaweza ku-infiltrate na kuichezea radar ya kisasa ukija kuamka 'tornado jet' zao zishasepa saa nyingi we fanya kazi ya kuzoa rubbles na kutoa maiti huna tena kiwanda cha mabomu ya sumu. Watu wanaweza ingiza virus kwenye highly secure nuclear plants na kuleta athari kubwa, sasa kweli does it matter ku-deal na spy wa kawaida tu.

Ni weak individuals tu wanao negoatiate on behalf of the republic ndio maana nchi inachezewa na 'prisoner dilemma' ndogo sana kwenye investment na misaada. Usalama gani wa kun'goa kucha tu wajipange national security ziko mbali siku hizi its not about the spy anymore ni jinsi unavyojilinda kotekote na kuwa tayari kwa lolote. Hakuna ata plan B ya budget deficit, na unajua ni swala ambalo linaweza kuleta madhara hela ikikosekana; Afrika bado sana.
 
If you are man enough and a true patriot as you seem to insinuate, go further and open up, mention the name of the mole and your authoritative reason and or source for suspecting the credentials and mission of the subject or else SHUT UP!
 
Back
Top Bottom