Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
Hiyo yote ni madhara ya wewe pia wala usimlaumu sana,katika ulimwengu wa roho mtu unaposhiriki tendo la ndoa na mtu mnakua mmeunganisha roho fulani isiyopotea kirahisi,kuipoteza ni mpaka kukaa karibu na MUNGU kweli kweli.utaishia hasira tu bure lakini hujui kua roho hiyo uliishiriki wewe mwenyewe na inaweza ikakuvuruga mpaka ukashangaa,labda shetani akusamehe tu.
 
Kama mume wako ni baunsa kuliko huyo jamaa wa pembeni mwambie...ila kama sio baunsa na hana power kumshinda jamaa kausha utaleta vita.
 
Ingekua "seriously" na wewe hufurahii kuwasiliana na huyo Ex wako ungekua umeshakata mawasiliano naye kitambo sana, maana I'm sure wako wanaume wengine wamekutongoza, Je! nao bado unawasiliana nao au una-strugle kutafuta namna ya kukata mawasiliano nao? Kama hauna mawasiliano nao au interaction ya aina yoyote nao is simply because hukupenda walichotaka na ukachukizwa nacho naamini hata kusikia tu sauti zao hutaki, sasa kwa huyo Ex wako nini cha tofauti hadi utafute ushauri wa nn ufanye?
 
Kwani aliye anza kumtafuta mwenzie nani? Mtu unaweza kuachana nae lakin ikatokea coincidence kwamba mmekutana tena ..vitabu vya dini vinasema usilipize baya kwa baya ..amewasiliana nae vizuri Ila kitendo cha kumtukana mmewe hilo ndilo halkubaliki so that means Hana nia nzuri hapo anaweza kukata mawasiliano na even kumblock ...sio kila x wako akiwasiliana na wewe baada ya kuachana basi umfanyie ubaya..Ila kama yeye umegundua Hana nia nzuri basi kulinda mahusiano yako uliyonayo present ni kukata mawasiliano...

Ila kingine sio kila mwanamke ikitokea coincidence amewasiliana na x wake ni Malaya..unamuitaje mwanamke Malaya ..have view ni mpenzi wako uliyenaye Saivi aakaitwa Malaya utajiskiaje ..au dada yako wa kuzaliwa tumbo moja...

Acha kuendekeza umalaya hata angekuwa mama yangu ningemwambia huo ni umalala

Hamna sababu itakayokufa uwasiliane na x wako mpk mtumiane video nayy akapost kwny social media eti unasema coincedence naww kama unafanya hivyo nakwambia acha umalaya
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??

Wewe ni mwanamke mpumbavu unayetaka kuivunja ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe. Ndoa ikivunja jamaa anakuwa amemaliza kazi yake na wewe utaendelea kudanga kama kawaida yako uliyozoea.
 
Acha kuendekeza umalaya hata angekuwa mama yangu ningemwambia huo ni umalala

Hamna sababu itakayokufa uwasiliane na x wako mpk mtumiane video nayy akapost kwny social media eti unasema coincedence naww kama unafanya hivyo nakwambia acha umalaya
We baba mbona umenishikia bango kama unanijua vile , nimeshakuelewa bana mind your business buddy !!
 
Wewe ni mwanamke mpumbavu unayetaka kuivunja ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe. Ndoa ikivunja jamaa anakuwa amemaliza kazi yake na wewe utaendelea kudanga kama kawaida yako uliyozoea.
Mh kinjekitile nae
 
We baba mbona umenishikia bango kama unanijua vile , nimeshakuelewa bana mind your business buddy !!

Ww kichaa mbona hapo sikuwa naongea naww labda kama hiyo ni akaunti yako nyingine
 
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikino yake mwenyew

Mpaka unaona status zake na yy anaona zako ni dhahir umesave no zake huo ni uchiz ipo siku mtakulana
 
Amini Amini usipoacha kuwasiliana na huyo ex wako utapata matatizo makubwa sana kwenye ndoa yako. Sisi wanaume usaliti siyo mpaka qummer itiombwe, sisi hata msg tu kwetu ni USALITI tosha, yaani kwanini uwasiliane naye, na hata ikitokea mwanaume akakwambia nimekusamehe basi jua hilo halitoondoka kichwani mpaka anarudi kaburini.
 
Back
Top Bottom