Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

Very true
Amini Amini usipoacha kuwasiliana na huyo ex wako utapata matatizo makubwa sana kwenye ndoa yako. Sisi wanaume usaliti siyo mpaka qummer itiombwe, sisi hata msg tu kwetu ni USALITI tosha, yaani kwanini uwasiliane naye, na hata ikitokea mwanaume akakwambia nimekusamehe basi jua hilo halitoondoka kichwani mpaka anarudi kaburini.
 
Wajinga wa hvyo uwa wananiuz mwambie ili ickuletee shida
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??

HUYO NI MJINGA NA LOOSER, MWAMBIE MME WAKO KILA KITU KUMHUSU HALAFU MU IGNORE, USIMWAMBIE CHOCHOTE, USIMJIBU TEXT ZAKE, WALA KUPOKEA SIMU YAKE, FUNGUKA 100% KWA MUME WAKO! MIMI NIKI FIND OUT VITU KAMA HIVYO WAKATI UJANAMBIA NITAPATA TABU SANA, UKINAMBIA HAINA SHIDA WALA!
 
Umtunikie papuchi wala hato kua na shida tena
 
Wee ni kajinga.... Ujinga wako ni umeanzia hapa unapoendelea mawasiliano na X wako.

Na Atakutafuna..jamaa atajua...atakuacha..kisha alokutagmfuna ( X) naye akuache..then unakua "Kajinga bobezi"
 
Yaani hadi insta umemfollow khaa? ila sisemi ni ukahaba. i guess mtakuja kutiana japo kwa siri sana. i give u my words
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
Block him, block his number, block his life,block his ass.
Why una namba yake mpaka sasa? Block everything. Si alikuacha mwenyewe kwa tambo. Anakutafuta ya nn?
 
Ndio usahihi wenyewe ulipo hapo siku ya kwanza mpe apashe kiporo,siku ya pili pia akizoea siku ya 3 muwekee mtego na mmeo washike atatuliwe linda ataacha kabisa kukutafuta.
Hahahaha endelea kumponza ndoa yake ivurugike wkt kaolewa juzi
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
Mm nadhani kama kweli mumeo unampenda cha kwanza baada tu ya Harusi yenu nzuri iliyo pendeza

Ulipaswa kuzaliwa upya ulipaswa kubadili number ya cm , kuachana kabisa na mambo yalio pita ikiwemo kupunguza marafiki wasio na umuhim kama hawa...........

Pia ukumbuke mpaka mtu amekuoa wewe maana yake amekuona wewe ni the best kwake hivyo unapaswa kumuheshim sana huyo mtu

Kumbuka wanaume wengine ni watundu kwangu mm binafsi nikiona huo ujinga ni moja ya sababu muhim za kukuweka pembeni kwani hujitambui
 
Ulitakiwa baada ya kuolewa umblock au ubadili namba yako ya simu .
Nilichogundua bado una ham naye ushauri wangu kama kweli una nia mblock kila mahali ambapo unajua atakupata
 
Mahusiano yako usiweke mtandaoni, kuwasiliana na x ni Umalaya, kama hujiheshimu mheshimu mumeo
 
Tuwekee na sisi hizo picha na crip ili tupime kwanza.
 
Back
Top Bottom