Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

Huyu bwana kaumia sana mimi kuolewaa

Ndoa ni taasisi ngumu sana.......!!

Ndoa ndio zinasababisha vifo vya mapema kwa wanaume wengi sana na magonjwa ya kudumu!!!.....

Kwa kifupi!!!....kabla ya kuingia kwenye ndoa mwanaume ili ubaki salama unatakiwa fahamu zako umkabidhi mkeo.....otherwise magonjwa strokes, kisukari, bp , na mengine yanayohusiana na stress Daima yata ambatana na wewe kama kivuli!!!!......

Wanaume waliooa na kuishi na wake zao zaidi ya miaka kumi....ni majasiri zaidi Israel mtoa roho!!,,,,

Heshima kwao!!!
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
Hapo cha muhimu kabisa ni kumwelezea shemeji yetu hali halisi ili siku likitokea lolote ajue kinachoendelea, pia acha mawasiliano na uyo jamaa kwa maana jinsi unavozidi kuchat nae au kupokea sim zake ndio unazidi kumkoleza aendelee kukutafuta na ikibidi block him him in all of your social media accounts and put his number in the blacklist.
 
Kwani aliye anza kumtafuta mwenzie nani? Mtu unaweza kuachana nae lakin ikatokea coincidence kwamba mmekutana tena ..vitabu vya dini vinasema usilipize baya kwa baya ..amewasiliana nae vizuri Ila kitendo cha kumtukana mmewe hilo ndilo halkubaliki so that means Hana nia nzuri hapo anaweza kukata mawasiliano na even kumblock ...sio kila x wako akiwasiliana na wewe baada ya kuachana basi umfanyie ubaya..Ila kama yeye umegundua Hana nia nzuri basi kulinda mahusiano yako uliyonayo present ni kukata mawasiliano...

Ila kingine sio kila mwanamke ikitokea coincidence amewasiliana na x wake ni Malaya..unamuitaje mwanamke Malaya ..have view ni mpenzi wako uliyenaye Saivi aakaitwa Malaya utajiskiaje ..au dada yako wa kuzaliwa tumbo moja...
Kama hujaolewa nikushauri tu. Never never communicate with your X while married. Wanasema earth has no furry like a scorned woman me nakwambia earth has no furry like a husband who discovers a wife in touch with her X.

Sio masuala ya kulipa baya kwa baya, it's knowing that wewe ni mtu tofauti sasa
 
Mpe jina lake dudu baya amuongeze kwenye list
 
Kwani aliye anza kumtafuta mwenzie nani? Mtu unaweza kuachana nae lakin ikatokea coincidence kwamba mmekutana tena ..vitabu vya dini vinasema usilipize baya kwa baya ..amewasiliana nae vizuri Ila kitendo cha kumtukana mmewe hilo ndilo halkubaliki so that means Hana nia nzuri hapo anaweza kukata mawasiliano na even kumblock ...sio kila x wako akiwasiliana na wewe baada ya kuachana basi umfanyie ubaya..Ila kama yeye umegundua Hana nia nzuri basi kulinda mahusiano yako uliyonayo present ni kukata mawasiliano...

Ila kingine sio kila mwanamke ikitokea coincidence amewasiliana na x wake ni Malaya..unamuitaje mwanamke Malaya ..have view ni mpenzi wako uliyenaye Saivi aakaitwa Malaya utajiskiaje ..au dada yako wa kuzaliwa tumbo moja...
Hapa ndipo nnnapo washangaa dada zangu! Kupenda kuamini kisichofaa kuaminika!
Hivi X wako atakuwa na story gani za muhimu kwako zaidi ya kuzungumzia KIPORO? Hivi akili ya kiume mnaijua kweli?
Amakweli mwalimu wenu...............!
 
Usijaribu kumwambia mumeo huo upuuzi wenu!
Itakapomwambia tu tabu utakayopata itabidi uje hapa Kwa mrejesho!
Kwanza utaanza kumtia mashaka juu ya mwenendo wako!
Utamtia tabia ya wivu ambayo itakuwa kero kwako!
Kila wakati utakuwa unapigiwa simu Weee kuulizwa uko wapi?
Ukichelewa kurudi nyumbani au kufika mahali flani atakugombeza Weee na kuanza kukuuliza ulikuwa wapi?!
 
Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .

Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
Kosa lako la kwanza ni kuendeleza mawasiliano nae...hapo ni kumvunjia heshima uliyenae sasa hivi. KUWASILIANA NA EX WAKO HATA KAMA MAWASILIANO MAZURI NI FEDHEHA KWA MUME WAKO.KUMBUKA HILO DAIMAAAAA
 
Tabia ya kupenda kumwambia mumeo au Watu wengine "flani ananitaka/ananitongoza" ni tabia mbaya! Labda kama umeenda Kwenye mazingira ambayo umgeni na pengine na Wewe umempenda Huyo Mtu na ungependa kujua Kama ana Mke tayari au ana Mtu wake tayari usije ukajiingiza Kwenye mabifu na Watu !
Na kuna namna ya kuuliza na kupata taarifa kimtindo na siyo kutangaza Kwa Watu kuwa eti flani ananitaka Hivi na vile!
Na yaweza kuwa na tafsiri nyingi mbaya!
Na mwanamke ukiona unatongozwa tongozwa hovyo fahamu kuwa you are a cheapest one [emoji108]🏻
Wasungo wengi wanakuwaga na hizo tabia!
 
Back
Top Bottom