Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,496
- 125,757
Sijui hata
Wewe unamtwisha nani lawama?[emoji6]
Wewe unamtwisha nani lawama?[emoji6]
.............Hii ndiyo aina ya wanawake wanandoa tuliokuwa nao!Sasa wewe dada yangu,unamshukuruje Mungu kupitia status zako w'app Mungu unaemwamini wewe unadhani huwa anapata muda kupita kwenye profile yako kuziangalia?
Ningetegemea useme ulikuwa unaenda kufanya ibada kwenye nyumba ya imani unayoiamini ila unatuma shukurani zako status,kesho na kesho kutwa ndoa yako ikiingia msala usianze kulia Mungu wangu kwanini umeniacha maana ni uzembe wako.
Niishie hapa usije ukasema na mimi inaniuma wewe kuolewa.
[emoji23][emoji23][emoji23] Basi waache wanaojua wa kumlaumu wamlaumu mtoa madaSijui hata
[emoji23][emoji23][emoji23] Basi waache wanaojua wa kumlaumu wamlaumu mtoa mada
Mtu na ex wake wote wanastahili kulaumiwa.Wewe unaona hapo wa kulaumiwa nani
Mtu na ex wake wote wanastahili kulaumiwa.
Kum-entertain huyo ex wakeKosa la dada liko wapi
Kum-entertain huyo ex wake
Akate mawasiliano naye!Angefanya nini?
Akate mawasiliano naye!
Silence is a better reply to a fool...!Mamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .
Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
SenseWewe kwanini unamfatilia
Najielewa zaidi hata ya neno jenyewe.
Exactly...!Wewe pia ni tatizo..ushajua hitaji lake,sasa kwa nini unaendelea kumfwatilia??
Utaaribu ndoa yako mwenyewe, kuwa makini,wewe tayari ni mke wa mtu
Ha ha ha ha...!La sivyo huu uzi ufungwe..hahaha
Thanks Ms.Mwajuma for such a nice stuff...silence was the best reply to the guy...otherwise, they are the same birds...!Hebu acha ujinga wewe khaaah!! Bwana wa zamani kinachikukereketa akituma maujumbe ni nini? Yaani kama vile na wewe unamkera mke wake. Block whatsapp, Instagram, facebook, Twitter and stop following or replying any text and call from him.
'Mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe' am sorry for being bitter people like you can't change in soft approach.
Ha ha ha ha ha...!Kama kawaida ya Jf lawama zote anatwishwa mtoa mada
Vipi na wewe lawama zote umemtwisha mleta mada?Kama kawaida ya Jf lawama zote anatwishwa mtoa mada