Najielewa zaidi hata ya neno jenyewe.
Afadhali wew umenielewa,nashukuru kwa ushauri wakoMe nilishakuwa na mwanaume wa hivi anafanya vituko vyote anavyovijua yeye..akadai anaoa mm namchelewesha ..yaan n manyanyaso mwanzo mwisho... Nilikaa mwaka nikiwa single ..baadaye nkapata mwanaume mwingine..sasa baada ya kuona Niko na mwanaume mwingine hataki kuamin kama Niko na mwanaume mwingine anajishaua kunilalamikia na kuomba msamaha..
Mumy huu n unafiki na ushamba achana naye halafu hakikisha hakufuatilii kwenye mtandao maana atakuharibia ndoa muda si mrefu..unaweza kumblock ili asione picha wala statuses wala video zako. Watu wa hivi wanaboa siyo siri.
Acha uchoyo hiyo nyapu kwan anaondoka nayo mpe akojoe kimoja aondoke zakeMh zero IQ mbona siyo njia sahihi hyo?
You're welcomeAfadhali wew umenielewa,nashukuru kwa ushauri wako
Hamkumalizana vizuri, itakuharibia ndoaMamboz?
Jamn kuna watu hata sijui niwaweke kwenye kundi gani,sawa aliwahi kuwa wangu wa "moyo" ila ghafla akabadilika.Mawasiliano akakata na baada ya muda akanitangazia anaoa,basi kwa uhakika akanitumia mipicha ya harusi yake mpk memory ikajaa.ukweli niliumia ila Mungu si Jf namimi nikabarikiwa mume .
Miez miwil iliyopita ndio nilifunga ndoa takatifu, ukweli sikumjulisha coz sikuona sababu ya kufanya hvyo.Ila dunia haina siri taarifa ikamfikia akanipigia cm kunipa hongera basi, kuolewa ni baraka jmn nikawa najikuta tu napost picha na video za harus yngu kwenye status yangu wasap nikimshukuru Mungu. Sasa tangu huyu bwana kajua nimeolewa imekua kero kutwa ananipigia cm eti ananipenda,ooo mara harus yako ilinoga sana ,we mzuri aisee huyu mke niliemuoa hatuendan ,natamn turudiane na uchafu mwingi mwingi.
Sasa juzi kapost Instagram video yngu fupi niliyokua nikimuimbia mume wangu nyimbo ya Ed sheeran "perfect duet" half chini akaandika " I was d only one deserve this n not that ass" . kaniudh saaaana ,nmfanyej?? Nimwambie my lovely haya makaraha au ninyamaze tu??
Nakazia hpo ushaolewa mawasiliano na bwana wa zamani ya nn km si umalaya?Najielewa zaidi hata ya neno jenyewe.
Huu umalaya ingawa najua huwa wanasingizia hatujaachana kwa ubaya just friend tu nachukia sana hii tabia!Ww mwenyewe hujielewi yani umeolewa halaf bado unawasiliana na bwana wa zamani...huu ni umalaya
Haaaaaahaaaaa tena malaya haswaaaaa!Narudia tena kukwambia...huo ni umalaya
Wewe unamtwisha nani lawama?[emoji6]Kama kawaida ya Jf lawama zote anatwishwa mtoa mada