mr mkwawa
Senior Member
- Jul 29, 2018
- 146
- 295
Habari zenu wanajamii wenzangu.
Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na hyu binti kama mwaka na miezi kadhaa. Ila sijawahi mgusa, na kila nikiomba uwa anasema nisubiri, hii hali imenichosha sasa maana tumekuwa tukipeana romance sana tu ila ikifika suala la kushiriki tendo amekuwa ataki kabisa kwa kusema bado mda.
Sasa nmechoka kusubiri nmemwambia kama hataki kunipa mchezo basi mimi na yeye itakuwa ni mwisho.
Mwanzo alidhan natania kumbe mm nko serious na maamuzi yangu imepita week 2 saiv nmekaa kimya simtafuti na hata yeye akinitafuta simpi ushirikiano wowote.
Kwahyo saiv anaomba nisimuache bado ananihitaji na kunipenda sana ila bado yupo na msimamo wake wa kutoshiriki tendo na mm mpaka mda utakapofika.
Kwahyo hapa nmebaki dielema nisubirie au niachane naye japo bado nampenda sana.