Huyu binti simuelewi

Huyu binti simuelewi

Sawa sio rahisi ila nimekuambia kama anakuja faragha sehemu mpo wawili tu tumia umwanaume wako vzr. Kikubwa asipige kelele.. ukizubaa atapasuliwa na wengine akuletee dharau kinyama
Kinyama gani tena alete?
 
Habari zenu wanajamii wenzangu.

Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na hyu binti kama mwaka na miezi kadhaa. Ila sijawahi mgusa, na kila nikiomba uwa anasema nisubiri, hii hali imenichosha sasa maana tumekuwa tukipeana romance sana tu ila ikifika suala la kushiriki tendo amekuwa ataki kabisa kwa kusema bado mda.

Sasa nmechoka kusubiri nmemwambia kama hataki kunipa mchezo basi mimi na yeye itakuwa ni mwisho.

Mwanzo alidhan natania kumbe mm nko serious na maamuzi yangu imepita week 2 saiv nmekaa kimya simtafuti na hata yeye akinitafuta simpi ushirikiano wowote.

Kwahyo saiv anaomba nisimuache bado ananihitaji na kunipenda sana ila bado yupo na msimamo wake wa kutoshiriki tendo na mm mpaka mda utakapofika.

Kwahyo hapa nmebaki dielema nisubirie au niachane naye japo bado nampenda sana.
Unataka ushauri huyo mwanamke amekushinda kumvua kyupi,

Wewe usimvue kyupi ila fanya kuibetua kyupi kwa pembeni halafu upitishe mshedede hivyohivyo bila kumvua kyupi.
 
Mm kutumia nguvu juu ya mwili wa mwanamke apana kaka siwez mfanyia hivyo
Mkuu upo mkoa gan
Nikuambie Mahal utampeleka mkale bata hapo hapo unaomba mchezo hawez kataa hiyo outing
 
Back
Top Bottom