jerrytz
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 5,991
- 4,361
snopes.com: Coca-Cola Spermicide
Baada ya kunywa sana castle milki yeye castle light tukakubaliana kuondoka. Akanunua cocacola nikadhani atainywa.
Nikajilaza mara naona amejifunga taulo kenda kuoga . soda siioni nikahisi ananiwekea madawa aje anipe nikamchungulia loo anajinawisha nayo .
Nikachupa nikalala kisungura aliporudi nikaenda nikaoga nikajiapiza sigongi lakini nikashindwa kususa nikagonga huku sijielewi kisa cha kujinawisha na kinywaji cha soda.