labda hataki commitments.....wewe endelea nae utajua mbele..
mkuu huyu demu ni mzuri na mm sitaki baadae nije niumie especially kama huyo jamaa yupo kweli
lakini sijamlazimisha. mm huwa naomba tu na yeye hutoa kirahisii, just like that !
Hahahaaaaa hilo jibu la "nina mtu" la hovyo sana, ni kwamba wanawake hawafall in love, we do not have a choice kwenye kuchagua mwenza... we are not sure kama huyo uliyenae unampenda ama la coz unatoa upenyo wa jamaa kumuovertake yule wa kwanza. Kwanini lisitumike "Sikupendi" tukafunga mjadala!!!!!