nyanda madirisha
JF-Expert Member
- Apr 1, 2019
- 432
- 763
Wakuu salama?
Naomba msaada wa kujua huyu binti anashida gani.
Niko hivi niko na binti mmoja kwenye mahusiano sasa shida inakuja binti huyu nikimwambia aje home anakuja lakini akifika changamoto bwana iko kwenye kutoa penzi aisee nabembeleza mpaka nachoka baadaee sana ndo anakuja kunipa je shida ni upendo au nini kwa binti huy? Maana hata akinipa haonyeshi ule ushirikiano wa kwenye tendo wakuu ushauri wenu hapa