Huyu binti anahitaji kazi, tafadhali tumsaidie!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Back in the days niliwahi kufundisha shule moja ya secondary Arusha pale.. Alikuwepo binti mmoja yupo smart kiaina!
Hivi majuzi nimekutana nae anasema kwa bahati mbaya hakuweza kuendelea na kidato cha nne kutokana na changamoto za kimatokeo!
Kama Kaka yake ameconfess kuwa anahitaji kazi yoyote isipokuwa tu ya bar!
Wadau kama una Duka, stationary au kazi yoyote inayomfaa mwanamke except iliyotajwa hapo juu tafadhali tuwasiliane!
Tuweze kuokoa hawa mabinti kwenye wimbi na balaa la kujiuza!

Sisi sote ni wazazi, tujenge kesho ya wanetu!
 
Kaka yupo mkoa gani?
Kama anaweza kunilelea mwanangu amabaye anaishi na mamake,lakini huyu mamake kashindwa kumtunza mwanangu vema kias ninachotaka!
Nitapenda kumwajiri ili kumwangalia mwanangu ambae n mchanga miez 6,na anaish na mamake!
2wacliane tafadhali kama anaweza!
 
Yupo Dar es salaam Ndugu !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom