Huyu bibi cheka toba!

Mkubwa na Wanawe! Bibi mwenyewe aitwa "B-Cheka" utachekaje kama asipotupia shwaga kama hizo ?

" Tukinaaaaaaaa!"-(C) Veronika Mpangala wa BiBi Bomba!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaah, huyu bibi kachoka kweli kweli!
 
Mtu mzima ovyo ujana haukumtosha lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…