Huyu bibi cheka toba!

kuonekana kwake kulimpa ulaji Kilimanjaro music award maana vijisenti alipata.
 
ana matatizo ya akili.
umri wake umepishana na matendo yake.

ivi ana babu?sasa uyobabu atakuwaje?na watoto?....tmk oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mi lavu temeke bana maisha sio magumu kabsaaaaaaaaaaaaaaa yan unafanya vile unapenda.....bt hao akina TEMBA wanamdhalilisha bib wa wawatu manake wanamjaza maneno na swaga ili awe km teenager kumbe yu alamsiki:embarassed2:
 
togwa iliyo lala ndiyo bora .. keep it up kibibi
 

yu alamsiki...duuuh...umetisha!
 
Lazima kuwe na tofauti ili mambo yaende na maisha yawe na ladha
 
ndio tabu ya kupata umaarufu
 
Anaonekana ni binti mdogo tu sema pombe zimemzeesha huyu wala hana ubibi wowote....pombe noooooma!
 
Adui yako mwombee njaa tu,lol...hizi njaa zitatuua
 
Unaweza kuta kina Temba wanajibanjulia mzigo hapo. Chezea bange weye...
 

hahahahahaha hapo kwenye red daaahh
 
kweli cha Arusha kwere, nimeamini kuna watu wananjiona wapo ulaya wakikipiga, kama wengine wanajiona mabinti
 
kipaji kilichochelewa kuonekana
 
tehe tehe tehe tehe...ah haha haha haha kwakweli pozi la bibi limeniacha hoi,hasa ile mikono dah...ah haha haha haha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…