Huyu bi dada ana hatari

...Labda ni katika wale waliobahatika wakiwa wajawazito wanapendeza kupita kiasi hivyo kuringa kama kawa.


Kwahiyo UNARINGA hata ukiwa na kitumbo sio?
 
Last edited by a moderator:
Heri yake Kwa kweli..

Wanawake wengine mimba ni ugonjwa. ..
 
Reactions: BAK
Ni kweli aisee kuinuka tu ni shida achilia mbali kutembea anakuwa kama ananyata vile kwa maumivu na kuchoka.

Heri yake Kwa kweli..

Wanawake wengine mimba ni ugonjwa. ..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…