Huyu anatafuta rekodi ya dunia kwenye kitabu cha Guiness
Acha kabisa dadaangu, kuna watoto wa wanyama wengine akishazaliwa tu anapulizwa upepo kidogo tu anaingia barabarani.
Huyo anatafuta rekodi ya dunia kwenye kitabu cha Guiness
sijui ni kujiamin au alitaka kuinesha watu how strong she is? mim naona mateso
Uinuke zeze umbuje?
Mazoezi sawa ila vikizidi ni mno!
Chezeya wazungu weye!!!! atatokea mmoja mwenye akili mbovu ili amrudi huyu, si ajabu watu wakamlia mpunga.
Mweh huko ndani kijacho anakoma....
anajiuliza maswali yasio na majibu
Hahahahahaha lol!!! Nadhani aliogopa sana maana kuufukua kwa dakika hizo si mchezo.Alibaki kaduwaa tu hata kuchezacheza tumboni hakucheza kwa muda wote huo.
Mmmh huko kurushwa rushwa asisikie? Lazma maquestion mark yalimjaa kichwaniLol.....hahisi chochote yupo anaelea na fluid ukute anafurahia lol
Like mom like kijacho...!!!
Mmmh huko kurushwa rushwa asisikie? Lazma maquestion mark yalimjaa kichwani
Huu uzi unanifanya nicheke mbavu zinauma na upele umepata mkunaji.....ningekupa like kubwa bahati natumia calculator lol
Itakuwa alijiweka sawa nae, akajishikiza kisa huo mrusho....Hahahahahaha lol!!! Nadhani aliogopa sana maana kuufukua kwa dakika hizo si mchezo.Alibaki kaduwaa tu hata kuchezacheza tumboni hakucheza kwa muda wote huo.
Kanajisemea kimoyomoyo "what's wrong, today is today"We fikiria baby mtarajiwa kishazoea amani tumboni kwa mama yake kwa miezi karibu tisa, sasa siku hiyo mama anaufukua kibaby kinaona amani ndani ya tumbo hamna tena thubutu achezecheze anakaa kimya kabisa.
Itakuwa alijiweka sawa nae, akajishikiza kisa huo mrusho....
Kumbe alishajifungua....Huyo daktari amshukuru Mungu sana, kama kungetokea complications zozote kwa huyu bi dada basi wangemfuta kazi.