Huyu Beki 3 nimfanyeje?

Umeona eh! Hapo kwenye rangi baadhi ya Wabongo wanapenda sana kujidekeza. Watu wawili tu ndani ya nyumba! wanataka beki tatu! Hahahahahahah lol! kukaa na vichupi tu ndani ya nyumba au kujirusha popote pale bila ya kuwa na wasiwasi wowote ule ali mradi tu wametia kufuli mlango wao.

 
Hapa ilitakiwa uje na uzi usomeke"NIMEMTAFUNA BEKI TATU WANGU"........ sasa unataka ushauri gani hapa mkuu
 
Raha sana kuishi wawili minikiolewa sitaki mfanykazi ataninyima Uhuru kujimwaga nitamtafuta labda nawatoto nawao kunalikizo nawatoto kwabibi nijinafasi namume


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
We unataka umfanyeje? Inaonekana unamchekea ndo maana anafanya yote hayo! Ivi we ni baba mwenye heshima zako kweli??? Mfyuuuuu ndo maana hata unadharauliwa na baki tatu! Na unachotafuta utakipata soon!!
 
Huna msimamo......hivi anaanzaje kukukumbatia???

Ulishindwa kumpiga picha ukamtumia mkeo????
 
mwanaume haombi ushauri kwenye situations kama hizi, Mwanaume mashine.
 
Wife anasema unamsingizia?
Mle halafu akigundua ndio atajua ulikua humsingizii
 
Amua mwenyewe maana hata tukuambie nn hutatusikiliza utafanya unachotaka wewe!
 
Mkeo ana akili sana kaamua kukuletea mwanamke mwingine tena inaonekana ni mzuri zaidi ya Mkeo ndo maana kaamua kukuletea huyo ili usihangaike kulala nje na Kama umemwambia lkn anasema unamsingizia "WE HUJASTUKA TU!!! We mgegede acha uboya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww mwanaume acha kujilegeza inamaana kumuona tuu hyo mashine yako inasimama? Utakua na shida sio bure. Halafu eti wife nampendaa sanaa unampenda wakati unamtamani msichana wa kazi?? Si bora ukatamani nje uko. Achana na mawazo na hako kasichana katakuharibia maisha yako kabisa ukabaki na abdalah kichwa wazi wako tuu
 
Mpe namba za mbele, ubeki 3 hauwezi we ndio kocha wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kufanya nipe namba za huyo beki 3 niwe napiga mimi then nitakuwa nakupa hela ya kumuongezea kwenye mshahara, yaani kama unamlipa 50, mi ntakuongezea 30 ili uwe unamlipa 80.


nafight with my weather
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…